SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,315
- 4,521
Acha kusambaza habari za uongo ma za kuchochea chuki. We Kama hupendi mpira usifuatilie, usilazimishe watu kutofautilia na kupata burudani. Pilipili usioilamba inakuwashia nini. Hamna kitabu Cha dini kinachosema mpira unachochea chochote ulichosema hapo. Na dini umeleta zinaa, mauwaji, wivu, chuki, kuliko chochote kile duniani. So usianze kuongea maneno kujifurahisha. We ni mtu mzimampira ni sehemu au mpango WA kishetani...
Mpira unahamasisha ngono ,,unahamasisha ushaoga,,ulevi,kamari,,uvivu,,hasira,, ibada ya sanamu,,
Nasisitiza tena Mpira ni hekima toka kuzimu..ww mkristo mwenzang achana na mamb ya mpira coz unamwabudu shetan bila kufahamu..