Club maasi iko wapi?

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Nimesikia tangazoo kuwa kanga moja leo wako klub maasai,ila sikumbuki kama ni knondoni au m'nyamala.nisaidieni maana nawatafuta hawa viumbe nimeona picha zao youtube kuna kiutafiti fulani nataka nifanye.nielekezeni wakuu
 
Ipo mwananyamala ni baada ya kupita vijana kinondono zipo jirani sana
 
Nimesikia tangazoo kuwa kanga moja leo wako klub maasai,ila sikumbuki kama ni knondoni au m'nyamala.nisaidieni maana nawatafuta hawa viumbe nimeona picha zao youtube kuna kiutafiti fulani nataka nifanye.nielekezeni wakuu

Mkuu ni kapi hako kautafiti tuelezane mkuu labda tunaweza tukachangia points
 
mzee wa maeneo nini?acha leo nijongee kwani mcheza kwao.......
Siishi huko lakini if its happening in Dar chances are i would know about it -am a night owl.

Mkuu ni kapi hako kautafiti tuelezane mkuu labda tunaweza tukachangia points
Hamna cha utafiti hapo atayarishe vijihela vya kumtunza bonge na awe na totoz wa baada ya show ambako ndio utafiti utakapofanyika.
 
Siishi huko lakini if its happening in Dar chances are i would know about it -am a night owl.

Hamna cha utafiti hapo atayarishe vijihela vya kumtunza bonge na awe na totoz wa baada ya show ambako ndio utafiti utakapofanyika.
Labda anatokea wizara ya utamaduni,vijana na michezo,kitengo cha sanaa ya majukwaani!Maana nimesikia wanataka wawafungue hawa wacheza u....hi.hapo hakuna utamaduni kabisa!
 
Hii ni fikra potofu hawachezi uchi,umewaona wacheza show wa bendi zetu ? hebu tembelea Nairobi uone wacheza uchi club(srip tease,lap dance).
 
Siishi huko lakini if its happening in Dar chances are i would know about it -am a night owl.

Hamna cha utafiti hapo atayarishe vijihela vya kumtunza bonge na awe na totoz wa baada ya show ambako ndio utafiti utakapofanyika.

nightmare!mia mzazi..bonge hana kitu yule portable ndo mikosi sasa last week alhamisi nikajitia mango garden kulikuwa na mashauzi classic taarabu!aibu hivyo viuno.....dah!sikufuata taarabu bali nyonga na uzuri hiyana hawana watoto wa kiswahili ukishine,unanukia na unatembea huku umekaa ukishindwa kung'oa una gundu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom