minuz
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 624
- 216
Hizi club chuga ni motoo wakuotea mbaliii
1)club d
2)pin point
3)
4)
Malizieni wenyeweeee manaaaa mkuuu hizo club ni shidaaaaa tuup..
madem wa r chuga ni eazy na wababaikaji,nilichukua dem hapo club d kashobokea mapozy tu kajua huyu sio wa hapa,halafu macharii walikua wana mmind dem wao wakaja kunipiga bit,niliwatoa show hawakuamini na dem nikasepa nae na nikamkopa vilevile