Captain22
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 630
- 285
Meneja TARURA Arusha CC, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Mayor Baraza la madiwani Arusha jiji na Diwani. Kuna kero kubwa sana na hata hatari kwa watumia barabara pale stendi ya hiace/ pikipiki Moshono.
Hapo moshono karibu kabisa na Chub D, hiace hazina eneo maalumu la kupaki hivyo zinalazimika kupaki barabarani na kusababisha foleni na kero kubwa kwa watumia barabara.
Sehemu hiyo finyu, inatumiwa pia na pikipiki. Hapo hapo Panasonic soko la moshono. Ombi: stendi isogezwe mbele na ijengwe eneo la kuegesha hiace.