Sikumbuki this appearance ilikuwa by when? Ninachokumbuka kuna wakati John Dillinga Matlou DJ JD aliwahi kuwa mmoja wa DJz waliopiga hapo aisee ilikuwaga ni balaa sana ..jamaa anaujua muziki na anajua kucheza na mashabiki.... scratching, cutting ad lips hasa kwenye R&Bs na Hiphop...ilikuwa kali sana nilikuwa sikosi weekend kuwapo hapo.
Nakumbuka mara ya mwisho kuingia ni miaka ya 2010 -2014 hv.
Lkn pia kutokea club kama Billicanas/Mawingu/Triple A, Moro Hotel etc. Ni ngumu kwa sasa maana lounge zimechukua nafasi ya clubs, so people wanaamua kuwepo lounge zaid kuliko clubs ambazo nyingi zinakuwa zimejaa watoto na utoto wao.