Club 71 Tegeta kwishineiiiii!

Club 71 Tegeta kwishineiiiii!

GDK

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Mwanzoni nilipoingia club 71 wakati imefunguliwa niliona kama club ya maana kwa watu wastaarabu.Lakini nimeifanyia tathmini na kugundua ni ya vijana zaidi.Vurugu za vijana na madem na ma-DJ wa hapo mpaka wastaarabu tunaonekana hatuna maana..Nadhani itakuwa ya kiswazi mda si mrefu...Nawasilisha!
 
Napendaga zile sehemu unakaribishwa na maneno makuubwa...."OWNER HAS THE RIGHT TO ADMISSION".....hii inasaidia kupunguza kero kama hizo za Club71.
 
Clubs nyingi sana Dar utakuta club nzuri lakini dress code ndio mgogoro. Owners wengi wanachojali ni pesa na sio class
 
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....
 
I'm glad umeliona hilo manake ukiingia clubs nyingi Dar tena the so called za maana watu wamevaa kobanzi, kandambili, kaptula etc
 
Hahaha,,,,,waache watu wale jasho lao hata kama ni maskini,,if you think your classy,casino is a right place for you,
 
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....

mkuu umenikumbusha club za ug ngoja nifanye mchakato nikale bata uko.wengine tumezoea tukiingia club tunaingia VIP lakin naona tz aipo hiyo.
 
Mkuu Nyangi m.a sikatai kwamba kila mtu ana haki ya starehe lakini lazima kuwe na standards...kama kila sehemu ya starehe kila mtu anaingia nadhani itakuwa sio.Kuna vijana wanachipukia starehe ukiwa nao jirani hao utapata tabu sana..LAZIMA KUWE NA STANDARDS KWENYE BIASHARA KAMA YA CLUB!
 
that's true mkuu,,,ndo maana many classy people wa town wanajipumzisha na kula bata kwenye bendi za kikongo kidogo kule mambo ya kiutu uzima tu,,
 
Mkuu Nyangi m.a sikatai kwamba kila mtu ana haki ya starehe lakini lazima kuwe na standards...kama kila sehemu ya starehe kila mtu anaingia nadhani itakuwa sio.Kuna vijana wanachipukia starehe ukiwa nao jirani hao utapata tabu sana..LAZIMA KUWE NA STANDARDS KWENYE BIASHARA KAMA YA CLUB!

Very well said. Thank you
 
naskitika watanzania common kabisa sasa mnabaguana eti classy hicho kielimu ulichokopeshwa ndo kinakupa jeuri na kujiona classy fool sio misingi aliyoweka baba wa taifa
 
Hata mabaunsa wao bado wana matongotongo,hata busara hawana,nimekumbuka pale Arusha Makao Mapya karibu na bar ya Mashele palikuwa na jamaa ana mgahawa wake wa Pizza wageni toka ng'ambo walikuwa wanpenda sana kupata pizza na bierre ,jamaa alikuwa haruhusu waswahili hata ukija na mtalii wako unaishia nje,jamaa alikuwa na msemo kuwa ''waswahili wana joto kali wakishika glass zinapasuka''alikuwa anamaanisha kwamba waswahili sio wastaarabu kwani hufanya fujo kiasi cha kwamba wageni ambao ndio wanaotoa hela nyingi hukimbia,mwanzoni sikumweelwa nikidhani anajidai tu ,lakini baada ya muda nikajaelewa,vijana wengi si wastaarabu hasa wakipata maji ya Mchikichini inakuwa kero.
 
kwani hamna club za high class au nyinyi hamzijui???club rouge kuna muendesha bodaboda??club 327[kama bado ipo wazi,unalipia ki-vip kizima kinakuwa chenu],level 8 etc.....
 
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....

Of the two silk imetulia zaidi kwa mtazamo wangu..club sio mahali pa kwenda...kama unahitaji kuburudika
 
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....
halafu dondoka nairobi ingia club f2 au f1.ayayaya vitu classic
n well organized night clubs.
 
Mkuu Nyangi m.a sikatai kwamba kila mtu ana haki ya starehe lakini lazima kuwe na standards...kama kila sehemu ya starehe kila mtu anaingia nadhani itakuwa sio.Kuna vijana wanachipukia starehe ukiwa nao jirani hao utapata tabu sana..LAZIMA KUWE NA STANDARDS KWENYE BIASHARA KAMA YA CLUB!

sio club tu wala biashara tu, maisha kwa ujumla wake ni standards, hata kilabu cha chimpumu kina standards, ndo maana si rahisi kupata wine hapo,

naunga mkono hoja yako, hiyo club yenu sasa iseme inataka wateja wa aina gani, sio kutuchanganyachanganya tu.
 
Back
Top Bottom