123Kape
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 463
- 105
Acha ujinga wewe usijifanye hujaelewa wewe utapenda uende sehemu unanunua kinywaji chako ukikiweka chini tuu ukageuka kimekwenda na maji the so called masela (masela mavi) wamechukua!!au mara watu wameanza kupigana na vyupa bila 7bu za msingi..au umekuja na demu wako wahuni waanze kuzingua!!hapo elimu inahusika kweli hapo kaka?------- wewe
naskitika watanzania common kabisa sasa mnabaguana eti classy hicho kielimu ulichokopeshwa ndo kinakupa jeuri na kujiona classy fool sio misingi aliyoweka baba wa taifa