mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
kiongozi upo!!.salam salam.sio club tu wala biashara tu, maisha kwa ujumla wake ni standards, hata kilabu cha chimpumu kina standards, ndo maana si rahisi kupata wine hapo,
naunga mkono hoja yako, hiyo club yenu sasa iseme inataka wateja wa aina gani, sio kutuchanganyachanganya tu.
shut the fu&*ckup who the hell are you making yourself judger!
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....
kiongozi upo!!.salam salam.
sio club tu wala biashara tu, maisha kwa ujumla wake ni standards, hata kilabu cha chimpumu kina standards, ndo maana si rahisi kupata wine hapo,
naunga mkono hoja yako, hiyo club yenu sasa iseme inataka wateja wa aina gani, sio kutuchanganyachanganya tu.
Mwanzoni nilipoingia club 71 wakati imefunguliwa niliona kama club ya maana kwa watu wastaarabu.Lakini nimeifanyia tathmini na kugundua ni ya vijana zaidi.Vurugu za vijana na madem na ma-DJ wa hapo mpaka wastaarabu tunaonekana hatuna maana..Nadhani itakuwa ya kiswazi mda si mrefu...Nawasilisha!
True that,mkuu Umenikumbusha mbal sana Silk n Ange noir wamejitahid sana Ao Majiran zetu tatizo la Nchi ile liko kwenye mi Boda Boda tu kero kero tupu ila sehem za bata kwakwel zimejitahid.Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....
Hi Club ipo Kibo Complex? ama?
True that,mkuu Umenikumbusha mbal sana Silk n Ange noir wamejitahid sana Ao Majiran zetu tatizo la Nchi ile liko kwenye mi Boda Boda tu kero kero tupu ila sehem za bata kwakwel zimejitahid.
hii nchi imepoteza umakini kuanzia mwishoni mwa 1980s kuja huku dotcom. zamani kilimanjaro hotel ukienda umevaa kijinga una ka-tshirt kako, jeans na raba mtoni chini ulionekana muhuni na usingeruhusiwa...
...ni ujinga umefanya tupuuze viwango na kukumbatia upuuzi....sawa tu na kusema gari aina ya Noah ni marufuku kubeba abiria lakini pikipiki ruksa, wehu tu vinginevyo hiyo unaiweka kiwango kipi???
halafu dondoka nairobi ingia club f2 au f1.ayayaya vitu classic
n well organized night clubs.
Of the two silk imetulia zaidi kwa mtazamo wangu..club sio mahali pa kwenda...kama unahitaji kuburudika
mkuu umenikumbusha club za ug ngoja nifanye mchakato nikale bata uko.wengine tumezoea tukiingia club tunaingia VIP lakin naona tz aipo hiyo.
I'm glad umeliona hilo manake ukiingia clubs nyingi Dar tena the so called za maana watu wamevaa kobanzi, kandambili, kaptula etc
Hi Club ipo Kibo Complex? ama?