Clouds Wanadhalilisha Taasisi ya Urais


Watu kama wewe mtasababisha JF ionekane haina tofauti na genge la wahuni siku si nyingi. Watu mnachangia kipuuzi kitu ambacho hamjakisikia. Hivi Clouds walichofanya ni kuchukua sauti iliyotokana na speech yake alipoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye semina ya Fursa. Nashangaa wenyewe mawazo na mtazamo hasi dhidi ya JK na Clouds mnasema amefanya tangazo. Kwanini msijadili yanayojiri kwenye saccos yenu ya Kaskazini.
 
Hvi kweli jaman huyu Jk anajua anachokifanya, sijuwi hata washauri wa hyo taasisi wanajua nin cha kufanya., Pole zao an Slow slow yes Muvument 2tafika tu japo tutakuwa tumechelewa. Kila ninaposikia hilo tangazo nataman kufa

Hivi Mboweeee anajua anachofanya
 

Nenda kamwambie JK akusifie na wewe maana kusifiwa Clouds inakuuuuuuuma.
 

Hebu pitia kidogo kwenye kamusi tafuta maana ya neno PUBLICITY
 
Utamkumbuka wewe,mkeo,familia yako na watu washenzi kama wewe. Sijawahi wala sintakuja kumuelewa huyu rais wako,anafanya mambo ya ajabu ajabu tu,bora akaongoze Tz mtoto aliyemaliza 4m 4 shule ya kata kuliko huyo check ndugu yenu.f.kabisa.

Ukimkumvuka mzinzi Slaa inatosha
 

kweli kabisa huu ni udhalilishaji, tena rais wa taifa kubwa la tanzania. Rais ambaye ni wa watanzania wote, radio zote sasa inakuwaje atumike kusifu chombo kimoja? Tena binafsi? Why not TBC1 AU KUNA AJENDA YA SIRI.
 

unapata msaada clouds
 
Siandiki sana, ila tambuen kumuita mh Rais kwenye fursa sio ndio kukamata fursa ya taasisi yake nakufanya ikulu ipige debe kwa clouds. Sii kweli nyie ndio station bora kupita tbc1, tena kama nistation ya vijana chanel 5 inatisha. Akuna kijana either wajana leo na kesho haijuw chanel 5, tena imewatoa wengi sana. Tena hakuna station imewatoa vijana weng wanajulikana leo kama chanel 5. Mbona wenzenu hawajigambi hawadharau wala hawana masham sham kama yenu. Polen sana. Heshima kidogo kwa rais wetu. Msi bip vyombo vya usalama.
 
rais mwenyewe wameshamfanya ni fursa! ukitaka tamasha lako linoge muite rais lazima aje kuchekacheka
tarehe 8 december kuna watu wamesha mfanyia booking dar marathon,wanarusha matangazo yao yenye picha ya rais, yaani huyu rais ni brand tosha ya biashara
kamata fursa twende zetu
 
God help us. Nimeangalia sana station nying za USA, AMAZING, HAWAMTUMI RAIS AS KUKUZA BRAND ZAO. Huu sio ungwana jaman!
 
Naomba Mwenyezi Mungu aniweke hadi 2016 ili niwaone Wa TZ watakavyokuwa wanamkumbuka JK.

cc. Ritz naomba uje unikumbushe, muda ukifika inshallah!!
 
Last edited by a moderator:

Kwanza..hapa sijaelewa ni nini hasa kinakuliza bwana Adrian Hilary.

Pili...kama unaongelea clouds fm ni RADIO na channel five ni TV...ingawa kuna ukweli kuwa channel five wamebamba kwa upande wa tv ila kwa upande wa redio haihitaji digrii ya chuo kikuu kutambua kuwa clouds wanakalisha.....

Na kama mheshimiwa raisi (au yeyote) kaamua kuwaunga mkono sidhani kama hili litakuwa ni kosa la clouds.

Na labda ungefanya uchunguzi kupata ukweli kama vituo vingine kukosa hayo unayoyaita "masham sham" ni utashi wao tu au ni ukosefu wa rasilimali watu wa kufanikisha hayo.

Tatu...hongera kwa kufuatilia clouds hadi kufikia kukerwa na masham sham yao...nakushauri kuendelea kufuatilia ili kujua kama watayafanyia kazi maoni yako...haswa hili la DHARAU.
 
Kuna jingo kafanya JK clouds Fm. Hivi kweli raisi anafanya tangazo kwenye radio?.
 
Uwezo wa kufikiri unamtegemea Dr Slaa anachosema na asiposema yeye huwezi kufikiri. Chadema family

Chadema inahusika nini hapa?? au kusema hivy lazima niwe CDM?? Nahisi una viroba kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…