Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

Jadi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
1,494
Reaction score
864
Wana-Jamiiforums,

Nilijitolea tangu siku ya Fiesta kuhesabu clouds watapiga mara ngapi nyimbo za Diamond vs za Kiba, mpaka sasa sijasikia wala kuona za Diamond, kwa sasa nipo likizo na niliamua kusikiliza radio hii kukamilisha uchunguzi.

Sasa nimegundua na kujiridhisha kwamba wao ndio walikodi watu wa kumzomea Diamond pale Leaders na wanaendelelza hii chuki kwa kutopiga nyimbo zake, au aliwapa bei kubwa sana? mbona hao wanaotoka Marekani mnawapa hela kibao hata kama sio wanamuziki wazuri? yaani kiukweli huwa mnaleta watalii tu.

Diamond ataendelea kuwa juu na atashuka siku Mungu akiibua mwingine na siKiba keshachuja huyo. Mlijaribu MwanaFA dhidi ya Jaydee mkaangukia pua, sasa yaonekana mmeongeza nguvu na mtashindwa vibaya. Eti kila kipindi sasa anapigwa Alikiba utafikiri tangazo lililolipiwa siku nzima!!duh mnaboa
 
Kati ya Watu waliokuwa against jaydee ktk sakata lake na clouds ni Diamond...
Nakumbuka meneja wake alihojiwa na sporah akasema wanaoipinga clouds ni wasiojielewa na wenye wivu na chuki na kwamba clouds wako professional hawataki ubabaishaji.
Namini baada ya haya yanayotokea atabadili fikra zake....
 
Yaan hii kwel Tanzania hv hakuna mengne jaman clouds bla kuandkwa hapa haiwezekani???
 
Kwa vile anajua mziki asimame kwa miguu yake tu atafka mbona Jide nyimbo zake hazipigwi na clouds still ana shine acheni kuwaandama clouds

Hili no neno kuntu!!
mbona kawaida tu!!
radio mbona ziko nyingi tu
 
Stori za kutunga hazina bichwa wala Ka.lio..
Clouds kama hujui ndo mamake ndomo wamemlea. ,wamembemenda ,wamempetipetii , na kila aina ya propaganda wamesuka ili tu aonekanne msanii expensive ..!
 
Ina maana hao craus mimi hawakunipa mgao wangu!
Kwa sababu hata mimi nilimzomea dimondi tena kwa mapenzi yangu mwenyewe na si kwa kushinikizwa na mtu,
ingawa huwa sisikilizi redio lakini kwa hili team lidomo mnatafuta mchawi tu ilhali mchawi ni ndomo mwenyewe na si redio mawingu.
 
Ipo siku na wao anguko lao laja, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kijana anapia kazi na yuko juu sana, inahitaji nguvu kubwa mno kumshusha, ni bora kusubiri muda wake ufike tu, mbona hata kina Pdidy wameshuka?? walikuwepo kina Snoopy lakini kimya!! clouds msijikweze sana kwa Alikiba hadi watu wanashtukia, duuh
 
Back
Top Bottom