Clouds TV mnatia aibu!

Clouds TV mnatia aibu!

Kwanini huu muda mnaotumia kusema watu msiutumie kufanya mambo ya maana labda nchi itaweza kuendelea

Na wewe huu muda ulioutumia kuja kuchangia hapa, si ungeutumia kufanyia mambo ya maana, ili nchi ikaendelea!! Ndio ninyi mnaokalia kusema eti wazungu wanamambo ya kupuuzi puuzi wakati hatima ya maisha yako ipo mikononi mwao!! tafakari.
 
Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! Kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!Mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! Kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
Haha..Clouds wamekaa kimbea tangu zamani..Watoto wa magorofani.Hata watazamaji na wasikilizaji wa radio yao wana upeo mdogo sana...kuna siku niliona bahati mbaya sehemu mida ya asubuhi..kuna jamaa wawili..mmoja km katoka kijiji anakimbizana kufanana mjini,wa pili km wa mjini ila ana sura fulani ya kisavimbi ya watoto watoto wa majini ambao wakikaa getini huwezi mwona boss kwa jins wanavyobana...huwa wanaboa km watoto wa kike.
 
Tatizo la clouds ni kuchukua wafanyakazi ambao sio professional!!! Na wanafanya hivi ili wasiwalipe hela nyingi... Wanataka cheap labour.... Kwa mfano upande wa radio kuna mtu anaitwa #mbwiga haahaha ni sheeda... Halafu kwenye TV huyu wa 360 Hudson hana muonekano wa kipindi kile... Wampeleke akatangaze kipindi cha gospel tracks!!!! Yaani ni akili ndogo balaa... Hana anachokifahamu...

Wajarekebishe watafute professionals... Yeye anafikiri azam anavochukuwa kina #charles na #tido hana akili!!!! Mwisho wa siku wanafanya kazi nzuri inayoeleweka...
 
Hahahaha... Mimi yule dogo wa top 20. Yani hata kama nahasira najikuta nacheka. Uwa anaongea kama kajaza popcorn mdomoni.. Clouds wanahitaji mtu kama tido aje awapike. Ovyo evrythn.
 
Nchi ya ajabu hii, ina watu tunajiona tunaelewa kuliko uelewa wenyewe, tunajifanya wademokrasi, wakati hatuijua nini demokrasi, mkiwa mpeznzi wa mwanacha chama kikine wewe ni kibaraka. Ala bila aibu tunadhani kila redio, au tv lazima wasome taarifa ya habari, kama ITV bila kujua habari zinaweza kuwasilishwa kwa njia mbalimbali, hii nchi kwakweli watanzania tuko nyuma sana kwa hali hii ya chuki tulionayo, hivi uhuru tunaoulilia ni upi, kwanini ufungue TV yenye vipindi visivoendana na wewe, Watanzania Tuache majungu fitna, buni shuguri zako.
 
sio hivyo mkuu, unajua wao taarifa ya habari huwa ni mapema saa. 19.30hrs,sasa wakati nasubiria baba lao ITV, naona ngoja ni tune hapo!! yaani ni majanga kweli taarifa ya habari nzima una leta habari moja??! wakati kuna matukio mengine makubwa yametokea hapa hapa dsm, hawana!! mala jicho la mwewe!! kwanza kuna kipindi waliaanza na simulizi za babu kabla ya habari husika,. Yaani ni full comedi, ila leo ndio wameua kabisa habari moja tu taarifa nzima!!
Wako mbioni kuanzisha kipindi kingine kiitwacho Jicho la mamba.
 
Hahahaha... Mimi yule dogo wa top 20. Yani hata kama nahasira najikuta nacheka. Uwa anaongea kama kajaza popcorn mdomoni.. Clouds wanahitaji mtu kama tido aje awapike. Ovyo evrythn.

Mwenzio anajiona star yule.
Hahahaaaaa, leo wakipita hapa watakasirikaje?
 
Naungana nanyi kwamba mbali na TV Clouds hata FM88.5 kuna vipindi watangazaji wanakuwa kama watoto wanaongea pumba...huwa nashindwa kuwasikiliza kwani haina mantiki kabsa. Hata kama ni vipindi vya vijana view angalau vya kuelimisha kwa kiduchu. JIREKEBISHENI TV CLOUDS NA FM 88.5
 
Hahahaaaaa!Hawa wenzetu wa media na macelebrities wana kazi sana, huyo jamaa pia simkubali halafu hua ana kama kujisikia flani hivi!
nifah umerudi mumie jamani i mic u people, na warumi nae alisepa nilibaki na diva tu. Welcome
 
Last edited by a moderator:
Nchi ya ajabu hii, ina watu tunajiona tunaelewa kuliko uelewa wenyewe, tunajifanya wademokrasi, wakati hatuijua nini demokrasi, mkiwa mpeznzi wa mwanacha chama kikine wewe ni kibaraka. Ala bila aibu tunadhani kila redio, au tv lazima wasome taarifa ya habari, kama ITV bila kujua habari zinaweza kuwasilishwa kwa njia mbalimbali, hii nchi kwakweli watanzania tuko nyuma sana kwa hali hii ya chuki tulionayo, hivi uhuru tunaoulilia ni upi, kwanini ufungue TV yenye vipindi visivoendana na wewe, Watanzania Tuache majungu fitna, buni shuguri zako.

Maandiko yako yana reflect ubongo wako. La pili A utamaliza lini maana kuandika tu bado issue
 
cloudz wazinguaji tu akiondo millard na watangazaji wa xxl hamna cha maana tena yani wananikera na matangazo hadi nimeikacha
 
Kwanini huu muda mnaotumia kusema watu msiutumie kufanya mambo ya maana labda nchi itaweza kuendelea
mkuu huwa wanapita humu jf xo kuwarekebisha co mbaya nchi tumewaachia mafisadi ccm wafanye wanavyotaka
 
sio hivyo mkuu, unajua wao taarifa ya habari huwa ni mapema saa. 19.30hrs,sasa wakati nasubiria baba lao ITV, naona ngoja ni tune hapo!! yaani ni majanga kweli taarifa ya habari nzima una leta habari moja??! wakati kuna matukio mengine makubwa yametokea hapa hapa dsm, hawana!! mala jicho la mwewe!! kwanza kuna kipindi waliaanza na simulizi za babu kabla ya habari husika,. Yaani ni full comedi, ila leo ndio wameua kabisa habari moja tu taarifa nzima!!

kama ni muda huo.. Uwe unaangalia hata Tv1
 
Back
Top Bottom