Takwimu hizi hapa ...sijui za kupika ama.??
Tupe kisa icho cha dina marios
Nchi ya ajabu hii, ina watu tunajiona tunaelewa kuliko uelewa wenyewe, tunajifanya wademokrasi, wakati hatuijua nini demokrasi, mkiwa mpeznzi wa mwanacha chama kikine wewe ni kibaraka. Ala bila aibu tunadhani kila redio, au tv lazima wasome taarifa ya habari, kama ITV bila kujua habari zinaweza kuwasilishwa kwa njia mbalimbali, hii nchi kwakweli watanzania tuko nyuma sana kwa hali hii ya chuki tulionayo, hivi uhuru tunaoulilia ni upi, kwanini ufungue TV yenye vipindi visivoendana na wewe, Watanzania Tuache majungu fitna, buni shuguri zako.
I hate clouds sababu ya kujifanya wanajua na kutuona c ka mabwege flan hvi....Mbwa tu
Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!!
Kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!
Mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!!
Kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
heshima nyingi sana kwako mkuu.
Hizi 'ngonjera' za wa kuiponda Clouds Media ni za muda mrefu sana humu,na kila mtu 'kujifanya' hasikilizi redio wala kuangalia TV yao!ajabu kabisa ikiwekwa mada hapa ndio haohao wanakuwa wa kwanza kuponda!
Na kwa aina hii ya 'ukosoaji' wanataka nao wajitofautishe kwa uelewa na hao wanaowakosoa!
Are u sure u are not bi tweluvu
Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!!
Kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!
Mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!!
Kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
teh teh teh teh....kwa 'wenye akili' umeonekana wewe ni 'hater' tu!,maana hitimisho lako halisadifu kabisa 'fact' uliyotoa!
Takwimu hizi hapa ...sijui za kupika ama.??
mambo yote kwa sasa ni azam two habari.
Kuna watu humu huwa mnadandia gari kwa mbele!! mimi wala sio kwamba nina chuki binafsi nao, ila haiwezekani kwenye taarifa ya habari ya saa 24,zilizopita uwe na habari moja tu?!!! ya kitaifa?? tena kituo chao kipo hapa dsm, ambapo kuna habari nyingi kulinganisha na mikoani, mbona kuna vituo kama tv1,chanel 10,citien, mlimani tv, wao kwa habari wanakuwa nazo japo si nzuri, ila zinakuwa angalau nyingi sio MOJA!!!!!! unaleta habari moja, ya kimataifa moja, eti na jicho la mwewe!! Kwanza hapi awali waliingia na style ya kuanza kusimulia kama hadithi hivi, ndio wanaioanisha na habari, wadau wakapaza sauti, naona siku hizi siioni,. kwa clouds tv hata kwa vipindi vingine bado sana, ukiacha sports bar, na afya check, vingine ni utumbo tu. Ndio maana nikasema SIO LAZIMA WAWE NA TAARIFA YA HABARI, kwa kuleta habari moja tu!!!