We bado unaangalia clouds TV? Una muda mwingi wa kuchezea
kuna kile cha asubuh 360, dah! jamaa wanaichukulia poa sana tasnia ya uandishi.
kuna lile linafuga ndevu za duara yaan kuchwan ni mweupe...anajiongelesha tu yule anafaa kutangaza habar za kilimo
kuna kile cha asubuh 360, dah! jamaa wanaichukulia poa sana tasnia ya uandishi.
Ushawahi kuona wapi habari inaanza na hadithi.
clouds hawana jipya kuanzia tv mpaka redio matangazo kibao na mtangazaji akisema kweli unawekwa pending kama dinamarios wa leo tena
Hakuna kipindi ambacho sikipendi kama kile, watangazaji hawajielewi wameachwa mbali sana na Hot Mix ya EATV.
kuna lile linafuga ndevu za duara yaan kuchwan ni mweupe...anajiongelesha tu yule anafaa kutangaza habar za kilimo