Clouds TV mnatia aibu!

Clouds TV mnatia aibu!

Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!!! mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
wanaboa sana
 
Imeanza lini hiyo chanel? Ndio hawa wanamiliki na clouds fm? Nway labda bado hawajazoea..
 
kuna kile cha asubuh 360, dah! jamaa wanaichukulia poa sana tasnia ya uandishi.

we acha tu cha hovyo sana....hawajitambui kabisa...nafuu Sam sasaly Lakin yule Hudson kamoga bogus hatari hana ufaham wa mambo mengi sana...yupo yupo tu...
 
Yani hakuna tv station mbovu tz kama Clouds tv ni mbovu mbovu kupitiliza yani nilisikia kichefuchefu nilipoangalia habari yao mm najiulizaga hawana washauri wakusema wajirekebishe. Eti taarifa ya habari inakua kama hadith ya kale yan ni ovyo kabisa wanavipindi vya kitoto sana sijui nani kawaambia wafanye vipindi vibovu hvo.
 
kuna yule mtangazaji wa 360 cha asubuhi bwana kamoga hana ufaham wa mambo mengi sana anazidiwa na Sam....
Kile kipindi wanatangaza au wanapiga soga.!
 
Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!!! mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!

Cloudsccm
 
Kiukweli jamaa hawakujipanga na kwa sasa nahisi wanajutia huo uamuzi. Wako very shallow in everting hata ubora wa sauti ns picha ni mbovu kushinda ile tv station ya zamani ilikuwa inaitwa c2c..

Clouds nawafananisha sana na tbc
 
Kwanini huu muda mnaotumia kusema watu msiutumie kufanya mambo ya maana labda nchi itaweza kuendelea
 
Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!!! mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
Umenifurahisha sana kwa sentensi yako ya mwisho eti kwani lazima wawe na taarifa ya habari? Binafsi nawashauri kama hawawezi kuandaa taarifa za habari wanaweza kuwa wanaweka clips za comedi tukacheka kuongeza siku za kuishi.
 
Back
Top Bottom