Clouds TV jiongezeni kulingana na Jina lenu

Clouds TV jiongezeni kulingana na Jina lenu

Hili tangazo limekaa kimahaba sana sijui kwa nini cokacola wameondoa lile la watoto wadogo,
Mwanangu alikuwa anaipenda kweliii ila hii sasa ikianza lazima nimtume chumbani hadi iishe ndo nimuite
Hahaaaa acha kumtesa mtoto ww sipati picha unamtuma Mara ngapi kwa siku mana lile tangazo lipo kila dakika
 
Hahaaaa acha kumtesa mtoto ww sipati picha unamtuma Mara ngapi kwa siku mana lile tangazo lipo kila dakika
Hhahahha uzuri ndo kwanza 2yrs so unavomtuma tuma ye anaona kama mnacheza tu,
HATa hivo now nipo busy na tabibu mwendo wa movie tu
 
Na ile fiesta 2016 ishapita miezi miwili ila wanayo tu. Inaboa
 
Inaboa pale kila mda ni simu ya mkulu akimaliza ni RC mak... afu salaam za ckukuu. Mnaudhi
 
Mkuu kuhusu graphics kwenye kipindi cha shilawadu ni kweli kabisa Hugo jamaa Thomson ndo graphic design wao so I think anakua anaonesha maujuzi sijaangalia kipindi hicho kila najua quiser ndo mwenyewe kipindi na ndo graphic designer wao..nlisoma nae Kenya kuhusu hayo mambo!!
 
Hili tangazo limekaa kimahaba sana sijui kwa nini cokacola wameondoa lile la watoto wadogo,
Mwanangu alikuwa anaipenda kweliii ila hii sasa ikianza lazima nimtume chumbani hadi iishe ndo nimuite
Siku hizi si nyimbo , matangazo na mavazi visivyohamasisha ngono....
Yaani moja ya sababu ya kuogopa tv ni pamoja na matangazo na nyimbo zihamasishazo zinaa
 
Kwa Tv za Bongo:
1 Picture Quality BEST Tv1
2 Content Quality ITV
3 Entertainment EATV
4 Sports Azam
5 Partisan TBC
CLOUDS
STAR TV
Hizo tatu za mwisho ziko biased sana zinajikomba sana kwa serikali, na zimekosa weledi kwa % kubwa. Overall bado ITV ni baba wa tv zote Tanzania ktk maeneo mengi!
 
Television ya ccm tumewashtukia ktambo...antivirus iz back
 
Ukifuatilia sana utajua shida sio clouds TV tuu but media zetu zote zipoo chini sana thus why mtu ukiwa vizuri bongo unaweza kuinvest kwenye media na ukapiga ela nzuri tuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom