naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,093
Nilicheka juzi walikua wanajadiliana issue ya jamaa aliyeota Mugabe atakufa wanajiumauma tu unaona kabisa wana hamu ya kuoanisha na issue ya Lema ila wanaogopaNilikuwa mpenz na mnazi wa kutupwa wa clouds tv hasa kipindi cha 360 enzi zile za Nina kija mwanzoni ila baada ya uteuzi wa kamoga kuwa mkurugenzi na wao kupigiwa simu na mkulu kila Mara imegeuka kuwa tv ya chama na kipindi kimekuwa kibovu mno maana wanahisi kila mda mkuu anawatazama saa wamegeuka kituko... siwataki tena...