joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,403
- 41,528
Onesha sehemu niliyosema Davido hawezi kumuita diamond,
Mbona jamaa unakuwa mwepesi kusahau....
Naona unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe,mpaka unasahahu ulichoandika dk 5 zilizopita au umeandikiwa hujaandika ww?.Davido amwombe msaada domo..we umelewa nini!!!..Davido anafanya makolabo na akina Chris breeze huko majuu jamaa yenu kakazana kukopi na kupesti,anafanya kolabo na wakongoman
Kwa kiingilio Cha 3000 wasafi festival itabaki kuwa baba lao.Onesha sehemu niliyosema Davido hawezi kumuita diamond,
Mbona jamaa unakuwa mwepesi kusahau....
Unajua kutofautisha "kuomba msaada" na "kumuita"??Naona unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe,mpaka unasahahu ulichoandika dk 5 zilizopita au umeandikiwa hujaandika ww?.
Hii ndio akili ya mtanzaniaJamaa utumie akili sometimes,kwan unaangalia show kwanza ndo unalipa,au unalipa kwanza ndo unaangalia show!!???
Watu walilipa laki lakini walichokutana nacho ni ushubwada mtupu..ukiondoa wizkid na tiwa kuna msanii gani mwingine wa maana aliye-perform wasafi ambaye hawezi kufanya fiesta
We kama hutaki nenda kalipe 10000...lakini hiki kiingilio ni cha kila mtu uwanja utajaa hadi utapikeKwa kiingilio Cha 3000 wasafi festival itabaki kuwa baba lao.
Mhh taifa??
Wafanye kampeni mtaa kwa mtaa otherwise watajikuta robo uwanja
Unahofia wana...[emoji16]Sema Temeke Kumekaa Kushoto Sana ,
Anyway Fiesta Njema Clouds
Ila zile kopi na pesti za yule jamaa yenu..mzee wa *nimeokota kidude" nyimbo tumeimba chekechea,leo anakuja kuwaimbia nyie
Kwa hiyo wewe kiricho kukasirisha kusema Davido kamwomba Diamond akafanye naye show Next Door Arena.Haya sikiliza intvw hiyo Sam Misago najua hutokubali na sikulazimishi,ILA DAVIDO ALIMWOMBA DIAMOND AKAPERFORM KWENYE SHOW YAKE.Sasa utajua mwenyewe ukubali au ukatae lakini hamna kitakacho badilika.Unajua kutofautisha "kuomba msaada" na "kumuita"??
Mimi nakataa unavyodai Davido kamwomba msaada domo
Kumuita domo hata mimi nikiamua namuita
Ujue kutofautisha kauli,au na we ni from kolomije
Davido amwombe msaada domo..we umelewa nini!!!..Davido anafanya makolabo na akina Chris breeze huko majuu jamaa yenu kakazana kukopi na kupesti,anafanya kolabo na wakongoman
Clouds wameishiwa ubunifu ruge kaondoka na ubunifu wake Hilo tamasha limekuwa Kama bonazaWe kama hutaki nenda kalipe 10000...lakini hiki kiingilio ni cha kila mtu uwanja utajaa hadi utapike
Wataingia watu hata ambao hawajawahi kuingia kwenye show yoyote, ni clouds tu inawapa fursa hadi masikini kufurahi kwa sababu clouds ni ya fursa
We kama hutaki nenda kalipe 10000...lakini hiki kiingilio ni cha kila mtu uwanja utajaa hadi utapike
Wataingia watu hata ambao hawajawahi kuingia kwenye show yoyote, ni clouds tu inawapa fursa hadi masikini kufurahi kwa sababu clouds ni ya fursa
Huyo jamaa atakuwa soudy brown.Kwani kiingilio kua elfu 3 ndo ishara kua maskini wanaingia ?
Dah Wewe ni mpumbavu naomba ujipige kifuani uku ukisema mimi ni mjinga sana nimetumia pesa ya mlezi wangu vibaya ehee Mungu nihurumie
Wakimleta Drake Clouds Media Group inafilisika mazima.Sio kwa ubaya ila clouds kama wamechanganyikiwa na balaa zitoo wangesoma madhaifu walioyaona. Juz Upande wa pili alaf ndio wangejipanga vzr #mfano walete live 100parcent alaf .Alist yao isiwe na wasanii wa bongo tu .watu wameshawazoea kila cku tunawaona . watushushie Drake. watajaza tu
Nitajie wimbo mmoja ambao Diamond ame duplicate kama ulivyoUjue kutofautisha sampling na copy and paste
Chris anafanya sampling
Jamaa yetu ana copy na pasting
Clouds hawajawahi kubahatisha tigo fiesta dsm kufanyika uwanja wa taifa tarehe 8 kiingilio ni sh 3000 na getini 5000 hiki ni kiingilio cha kimwananchi kabisa,ukikosa shauri yako
Clooooooooooouds FM
Tuonane tarehe 8 levels baby
Wasafi ile show ya kijinga unalipa 10000 unaenda kusikiliza sound mbovu,utaona tarehe 8 wanaume tunavyofanya yetu