Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
6,260
Reaction score
7,397
Clouds hawajawahi kubahatisha Tigo Fiesta DSM kufanyika Uwanja wa Taifa tarehe 8. Kiingilio ni sh. 3000 na getini 5000, hiki ni kiingilio cha kimwananchi kabisa.

Ukikosa shauri yako

Clouds FM

Tuonane tarehe 8,

Levels baby
 
Sijawai kusikia popote duniani tamasha ambalo ndio kubwa katika nchi liwe chini ya $1.5 huu ni zaidi ya utoto na kuna tatizo kubwa inaoneka ambalo hatujui au ni uoga na kuwadhalisha wasanii wetu, Sasa wasanii wakija kulia njaa tutashangaa vipi? ndio maana Diamond alikataa aya mambo kumbe alikuwa na hoja!
 
Wametangaza wanamleta nani kama mwanamusic kutoka nje?Kiingilio book tatu kweli Clouds fm wameishiwa.
Bado kuna vichwa vimepigiwa kura,si unajua international artist hadi confirmation ifanyike...Ila kutoka mamtoni atakuwa mmoja na wa afrika wawili,davido ana kura nyingi sana huyu anaweza kupita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom