digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,574
- 2,295
Habarini wana jamvi.....
Kama tunavyofahamu kuwa Afcon sasa hivi tunashangilia wenzetu, lakini nashangaa clouds fm wanaendelea kurusha matangazo yao ya serengeti breweries kuwa sasa hivi Tanzania ni zamu yetu kwenda afcon, mara taifa tupo juu kileleni, mara tarehe 27 tunacheza na majirani zetu kenya.....
Inamaana serengeti breweries na clouds fm hawajui kwamba tumeshatoka huko tena kwa kipigo cha mbwa koko...?
Je tungeenda final wasingetengeneza tangazo jipya ? Sasa tumetolewa kwanini wanashindwa kurekebisha tangazo liwe hata la kawaida...?
Mie ni hayo