Clouds mnaudharaulisha Wimbo wa Taifa

Clouds wapiga filimbi wa ccm hao
They are free to do anything...

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mbwa mkali mtupie kipande cha nyama. Mpenda MASIFA, DRAMA, KIKI , FENT FORD, CAMERA ..... ?
 
Nadhani kinachotakiwa kufanyika ni kuweka utaratibu mzuri kabla na baada ya kupigwa kwa wimbo huo!

FYI, wimbo huo wa taifa clouds wanaupiga kila siku kwenye radio na tv kila ifikapo saa 7:55AM, Na siku Ruge anaongelea hili suala nilimsikia akisema amepata baraka zote kutoka kwa mtunza nyara za serikali!

Kutetea hoja yake alisema TBC taifa wanapiga huo wimbo kila siku saa sita usiku, wao wameomba wapige asubuhi na wameruhusiwa!

Kikubwa wafanye connection nzuri kabla na baada ya wimbo kupigwa.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

kweli mkuu tatizo ni connection na attention ...make mda mwingine wakina kipanya na babra wakiwaa wanapiga story mara vuuuuuuh wimbo unapita kama matangazo ya sponsored ....
 
Ushauri,huu wimbo sio wa burudani,wauache!
Na kama shida ni uzalendo si zipo za tanzania tanzania,tazama ramani utaona nchi nzuri n.k.
Huku kujifanya eti mna udelunyuzi mnaboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani ilikua tukisikia wimbo wa taifa mchana redia tanzania, basi wote tunakaa kimya na kusikiliza kwa makini taarifa muhimu na yenye uzito wa juu inayofuata. Hii leo umekua kama tangazo la biashara tu
 
Huu wimbo una hadhi yake acheni kupiga piga hovyo kama jingle plse.
Kweli kabisa mkuu, hata kama ni fursa hapa wamebugi. Sijui ni kwa nini viongozi husika hawajaliona hili. Bora hata wangeedit hotuba mojawapo ya uncle John ikafuatia baada ya wimbo ingeleta maana flani, bt baada ya wimbo ni tangazo! Kwa mara ya kwanza ilinishtua sana niliposikia. Upeni heshima yake wimbo wetu wa taifa. Kuitwa na Rais mbele ya Museven haimaanishi sasa unaweza fanya utakavyo. Hapo Ruge amebugi, na waziri mwenye dhamana asidhani Uncle anafurahia kivile. Sometimes mnamlazimisha Uncle awatumbue.
 
Hivi ninyi Cloudd huko vyuo mlienda somea ujinga...!!???

Wimbo wa TAIFA sio wimbo wa burudani.

Mnauplay hovyohovyo.. Wimbo huu tunapaswa kuuskia ktk special ocassion. Si hivi mnavyofanya..kuuweka wimbo wa taifa ktk playlist tena unakua ktk list ya kipumbavu.

HESHIMUNI WIMBO WA TAIFA.
 
Mimi huwa nasikia wanaupiga saa moja asubuhi. Kuna sheria inakataza kupiga wimbo wa taifa mpaka iwe tukio maalum?
 
Back
Top Bottom