Been There
Member
- Nov 24, 2011
- 23
- 1
The problem hii serikali haiwezi tena kemea kitu chochote, this is because every business ina mikono ya wakubwa ama wanakula na wakubwa ama ni za watoto wa wakubwa. Na serikali ya muuza sura ndo bure kabisa( pipa na mfuniko) haichukulii kitu chochote serious, mkuu wa kaya muoga,utendaji wake dhaifu,viongozi wake ni wale wale(wanafanana naye kiuwezo wa utendaji,na baadhi ni shemeji zake,ndugu zake na mahawara zake!! Kwa utawala huu ni sawa na kufananisha nyumba ambayo baba ni mlevi na anadharauliwa na watoto kwa kuwa hurudi amejinyea na ku misbehave, heshima itakuwa wapi tena?????