Clouds mnaudharaulisha Wimbo wa Taifa

Clouds mnaudharaulisha Wimbo wa Taifa

Mjinga wewe umekuja na hoja dhaifu sana, eti wewe ulianza kusahau beat, una akili kweli? Beat wewe ulitaka ukaupige wapi, ndio maana unafurahia upuuzi huu wa mawingu radio.
Ukiwa na hoja nitakujibu
 
Tena wanakosea kwenye kiitikio, sijui hata nani waliupiga.
Huu wimbo upewe heshima yake.

Unless waimbe TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE.
 
Hapana mkuu wimbo wa Taifa hauwezi kuwa sawa na seduce me, nataka kulewa, nampa papa, mwanaume mashine na nyingine kama hizo! Wimbo wa Taifa ni moja ya alama za Taifa letu pendwa! Kama sisi wenyewe hatuta uheshimu wimbo wetu wa Taifa na wengine pia hawata uheshimu! Tukichekea swala hili wataupiga mpaka kwenye vilabu vya pombe! Zamani wimbo huu ulipigwa kwenye matukio maalum ya kitaifa!
Nashukuru kiongozi...
 
Nakumbuka zamani ilikuwa hairuhusiwi hata kumiliki kipande cha bendera ya taifa!!!
 
Back
Top Bottom