Clouds mnaudharaulisha Wimbo wa Taifa

Umenikumbusha Civics ya form one kuna kipengele kinazungumzia umuhimu wa wimbo wa taifa,na mazingira ambayo wimbo wa taifa unapaswa kupigwa..anyways nikirudi kwenye mada yako hao jamaa wanafanya wanachojisikia si unajua washa vimbishwa kichwa.
 
Nashukuru...

[HASHTAG]#NationalAnthem[/HASHTAG]
 
Hivi ninyi Cloudd huko vyuo mlienda somea ujinga...!!???

Wimbo wa TAIFA sio wimbo wa burudani.

Mnauplay hovyohovyo.. Wimbo huu tunapaswa kuuskia ktk special ocassion. Si hivi mnavyofanya..kuuweka wimbo wa taifa ktk playlist tena unakua ktk list ya kipumbavu.

HESHIMUNI WIMBO WA TAIFA.
Wewe nae una nongwa na clouds tu
Mbona TBC taifa wanaupiga kila siku alfajiri?
 
Ili iwe nini!!?

Wimbo wa Taifa unachezwa katikati ya Shishi na Visingeli..

Ili iwe nini!??

Na kuna watu wanakula mshahara hapo TCRA...!??
Punguza jazba
Hua wanaupiga kila siku saa moja kabla ya taarifa ya habari na sio katikati ya visingeli kama unavyodai
 
Punguza jazba
Hua wanaupiga kila siku saa moja kabla ya taarifa ya habari na sio katikati ya visingeli kama unavyodai
Ili iwe nini!???

So whaaat!??

A national anthem is to be played to have peoples attention....

Nina ushahidi na nnachokisema...leo umechezwa kati ya list ya kipumbavu...
 
Hata bendera haipandishwi hivyo hovyo kila wakati...inapandishwa saa 12 asubuhi na Kushushwa 12 jioni.....like wise na wimbo wa Taifa
Kwahio kuna sheria wamevunja? Tusiongee kwa hisia tu kumbe jamaa waliangalia loophole. Sheria ipo inayosema wimbo wa taifa upigwe kwa tukio fulani tu?
 
Ili iwe nini!???

So whaaat!??

A national anthem is to be played to have peoples attention....

Nina ushahidi na nnachokisema...leo umechezwa kati ya list ya kipumbavu...
Wamevunja sheria? Mbona hujibu? Kuna sheria inasema wimbo huo upigwe kwenye tukio fulani tu?
 
Wanapoupiga wanakuwa wamesimama wima na kutojishugulisha na jambo jingine hata kujikuna?
 
Hivi ninyi Cloudd huko vyuo mlienda somea ujinga...!!???

Wimbo wa TAIFA sio wimbo wa burudani.

Mnauplay hovyohovyo.. Wimbo huu tunapaswa kuuskia ktk special ocassion. Si hivi mnavyofanya..kuuweka wimbo wa taifa ktk playlist tena unakua ktk list ya kipumbavu.

HESHIMUNI WIMBO WA TAIFA.
Wajinga sana, hao jamaa. Sijui kwanini wanafanya hivyo, waache mara moja. Nashangaa viongozi wapo au watawala kweli hawalioni hili?
 
Mbona hii anthem inaheshimika...

Ikichezwa tu unajua ni msimu fulani..
 
Attachments

  • UEFA Champions League® Anthem (Full Lyrics).mp3
    6.9 MB · Views: 26
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom