Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Ninasikiliza clouds fm; kuanzia nyimbo zinazopigwa na wanayoongea Leo ni kama timu Mpya imeajiliwa kumbe in walewale!
Akili imewakaa sawa baada ya kutibuliwa;
My take!
Maumivu wanayoyasikia ndiyo tuyapatayo sisi daily!
*********************
PAMOJA NA YOTE NAWAPONGEZA SANA KWA UHURU WALIOUPATA
Kweli mkuu maana walikua watumwa
 
Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.

South
Bila kuweka hadharani video za kilichotokea kwenye chumba cha matangazo wataendelea kudharauliwa tu na hao kina Bashite. wanaficha nini?!
 
Kiukweli nawashangaa sana wanaosema Ruge kakosea kusema vile,sijui kajichimbia kaburi...

Mlitaka aharibu image ya kampuni sababu ya kumlinda 'rafiki' yake Bashite?
Mmeshajiuliza endapo Ruge angekana angeiondolea credibility kiasi gani CMG?

Naungana na Ruge na nampongeza sana,aangalie maslahi yao binafsi kama kampuni na sio unafiki.
Binafsi nampongeza sijaponda maamuzi aliyochukua kwani mi ni moja kati ya watu waliokua wakikerwa kwa utumwa waliokua nao
 
Tajiri hasusiwi, Clouds wakitaka batlle na serikali watakwama - Maana ukienda kuomba kibali cha tamasha unaambiwa hali ya usalama siyo nzuri, Na hali ya usalama ikikaa sawa tutawataarifu - utasubiri miaka 5. Hiyo endorsements wanayopewa na wakuu wa mikoa na ma RPC kwenye matamasha yao pia labda ikafa kibudu. Nahisi wanaweza kupata wakati mgumu kwenye mambo yafuatayo:

.......

1.KODI

2.MATAMASHA ( Ulinzi na Usalama )

3.MAADILI ( TCRA )

4.ELIMU ya Watangazaji ( Baada ya miaka 5, [ Sheria ya Habari ] )

....Uoga wako = Umasikini wako. Lissu angewasikiliza nyie leo asingekuwa raia wa TLS.
 
Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.

South
Ndomana Mkulu katumia TBC leo, Clouds kimenuka... Kaz kweli kweli
 
Enyi wanaume wa Dar pamoja na machadema onyesheni ubavu kwa kuandamana kumkataa mkuu wa mkoa. Tanzania hii mbabe wa vita ni Mange Kimambi peke yake nyie wengine chips yai tu. Ingekuwa watu mnajitambua saizi mngekuwa Manzese Argentina mnaelekea Jangwani then Ikulu
Hii sio serikali ile ya kubinua midomo na kuandamana,,andamana uone moto wake,,,
 
Tajiri hasusiwi, Clouds wakitaka batlle na serikali watakwama - Maana ukienda kuomba kibali cha tamasha unaambiwa hali ya usalama siyo nzuri, Na hali ya usalama ikikaa sawa tutawataarifu - utasubiri miaka 5. Hiyo endorsements wanayopewa na wakuu wa mikoa na ma RPC kwenye matamasha yao pia labda ikafa kibudu. Nahisi wanaweza kupata wakati mgumu kwenye mambo yafuatayo:

.......

1.KODI

2.MATAMASHA ( Ulinzi na Usalama )

3.MAADILI ( TCRA )

4.ELIMU ya Watangazaji ( Baada ya miaka 5, [ Sheria ya Habari ] )
Watu hawajajua hili ndugu,,wanaona na kufikiria kwa karibu bila kujua kwamba clouds wanajiendesha sio kwa matangazo tu bali matamasha ndio yanawainua sana,,, wakisusa wataumia wao zaid
 
Napenda makonda asitumbuliwe haraka ili aendelee kuivua nguo serikali hii iliyojaa kiburi na dharau. "mimi sishauliwi cha kufanya" by jpm
Upo pamoja na mimi kifikra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom