Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,868
viumbe vipya on time e fm imepoteza wadau leo
Mengi hategemei MATAMASHA kuingiza pesa na kumbuka matamasha yanategemea BACK UP YA SERIKALI 100%Kipindi kigumu hata mengi kapitia bwana
Acheni kutisha watu jamani
Madaraka yana ukomo wake msiwatishe watu wakati wameonewa kabisa
Hakuna madaraka ya milele
Clouds ipo miaka 19 sasa
kama wewe ulivyotumwa na Jambazi daudi bashite a.k.a Paulo makondaCloud media ni waongo na wanafiki sana. Wametumika na wauza madawa ya kulevya
Sijawatisha ila serikari ndo imewatisha, una macho na umeona labda kama hukua na mbKipindi kigumu hata mengi kapitia bwana
Acheni kutisha watu jamani
Madaraka yana ukomo wake msiwatishe watu wakati wameonewa kabisa
Hakuna madaraka ya milele
Clouds ipo miaka 19 sasa
Clouds wameweka ukaribu uliopitiliza na baadhi ya watu imefika hatua wako huru kuingia na kutoka pasipo kufuata taratibu za ofisi yao. Kama tunavyojua kila ofisi au mahala popote pana taratibu zake zakufuata.Wakati Ruge akiwa studio asubuhi leo nilimsikia mtangazaji mmoja akitoa mfano wa msemo kuwa 'ukizoeana na mbwa atakufuata msikitini', sikuelewa alikuwa anamaanisha nini! Aliyesikia na kuelewa atupe mwanga.
Hahahaaaaaa nimekupenda bure Richa [emoji8]Mbwa mwenyewe si mwingine ni daudi bashite
Kwa kuchukulia jambo lililowakuta clouds kama udaku ina maana yupo tayari maana kama leo ni clouds kesho itakua ITV au Azam au media yoyote ile pia raia hatupo salamahakuan mtu aliwahi kushinda vita yake akipigana na media, media siku zote huibuka kidedea. anatakiwa aufyate mkia au la, ataingizia media pesa nyingi sana kwa habari zake hadi atajuta.
Kweli kabisaaaHivyo ni Vita vya Wanafiki wawili.
Ulichokiandika kinathibitisha uwezo wako mdogo wa kufikiri, hili jambo kwa akiri yako umeona ni la watu wa Dar pekee?Enyi wanaume wa Dar pamoja na machadema onyesheni ubavu kwa kuandamana kumkataa mkuu wa mkoa. Tanzania hii mbabe wa vita ni Mange Kimambi peke yake nyie wengine chips yai tu. Ingekuwa watu mnajitambua saizi mngekuwa Manzese Argentina mnaelekea Jangwani then Ikulu
Tajiri hasusiwi, Clouds wakitaka batlle na serikali watakwama - Maana ukienda kuomba kibali cha tamasha unaambiwa hali ya usalama siyo nzuri, Na hali ya usalama ikikaa sawa tutawataarifu - utasubiri miaka 5. Hiyo endorsements wanayopewa na wakuu wa mikoa na ma RPC kwenye matamasha yao pia labda ikafa kibudu. Nahisi wanaweza kupata wakati mgumu kwenye mambo yafuatayo:
.......
1.KODI
2.MATAMASHA ( Ulinzi na Usalama )
3.MAADILI ( TCRA )
4.ELIMU ya Watangazaji ( Baada ya miaka 5, [ Sheria ya Habari ] )
Wakijipanga wanawaza japo watapoteza vingiTajiri hasusiwi, Clouds wakitaka batlle na serikali watakwama - Maana ukienda kuomba kibali cha tamasha unaambiwa hali ya usalama siyo nzuri, Na hali ya usalama ikikaa sawa tutawataarifu - utasubiri miaka 5. Hiyo endorsements wanayopewa na wakuu wa mikoa na ma RPC kwenye matamasha yao pia labda ikafa kibudu. Nahisi wanaweza kupata wakati mgumu kwenye mambo yafuatayo:
.......
1.KODI
2.MATAMASHA ( Ulinzi na Usalama )
3.MAADILI ( TCRA )
4.ELIMU ya Watangazaji ( Baada ya miaka 5, [ Sheria ya Habari ] )