Clouds Media watozwa faini

Clouds Media watozwa faini

mlungula nahisi ulishapita kwa huyu aliyepiga faini. Mill 5 ndo utatangaza umempiga mtu faini...?akina mama ntilie na wanaopaki magari kkoo na town wanapigwa mifaini ya ajabu sembuse hawa wapbwatukaji wa baba mwanaasha.... Wasituchezee akili zetu hawa tcra ...

Hata mimi nina mashaka makubwa makubwa.
 
What's 5m to Clouds? Ukweli ni kuwa Clouds is the farthest reaching media outlet in the country with the largest and most expansive listenership. Hakuna outlet nyingine inayoweza kuwafikia Clouds kwa ingenuity or creativity. Let's give credit where credit is due.Clouds oyee!

uwe na aibu bas, ukizungumzia coverage RFA unaiachia wapi!?
 
I wonder why some people hate this media outlet, I appreciate Ruge and Kusaga for what they are doing in the media industry. All I can say is that,Clouds Media outlet is the most interesting and fascinating radio and TV stations in the country whether you like or not.The clouds media house lead the park in terms of creativity and innovation and they know exactly what their segment of listeners and viewers want,they simply deliver it.My favorite presenter will always be Adam Mchombu,He is larger than life and he isn't boring when he is on air.
 
What's 5m to Clouds? Ukweli ni kuwa Clouds is the farthest reaching media outlet in the country with the largest and most expansive listenership. Hakuna outlet nyingine inayoweza kuwafikia Clouds kwa ingenuity or creativity. Let's give credit where credit is due.Clouds oyee!

Hayo maneno yako nani atakuamini?
 
if you could say wamesema kitu gani ndio wakapigwa faini ingependeza zaidi
 
Radio imejaa mashoga. Wanaliwa kama mboga - Mr II Sugu aka II Proud
 
"Mjinga akikwambia jambo la kijinga ukamsikiliza na kulikubali atakuona wewe ni mjinga zaidi yake" Mwalimu nyerere
serikali dhaifu ni zao la jamii dhaifu, serikali ikifanya mambo ya kipuuzi ina akisi jinsi gani wananchi wake walivyo wapuuzi.
Hivyo ndivyo tulivyo watanzania Wajinga wanatuambia mambo ya kijinga tunayasikiliza na kuyakubali wanagundua sisi ni wajinga zaidi yao. watatutawala mpaka kufa. Nchi hii mambo ya kijinga yasiyo na tija kwa mtu na taifa ndo yanaongoza kwa kufatiliwa na kundi kubwa la watu. Tena hatari hata kundi ambalo ni tegemeo la mabadiliko (wasomi) nao wametumbukia huko ni hatari sana
 
cjaelewaa
nilikua nafatilia thread
ila nimefika apa nimeshindwa kurelate na topic
 
Back
Top Bottom