Salsa milioni tano ni nini kwa clouds?
Ujinga mtupu mimi nilidhani ni faini ya kuwatia adabu kumbe bora hata ya faini za TFF.
Ile jeuri ya watangazaji wa CLOUDS TV na Clouds radio kuzungumza wanachotaka na kama vile wako juu ya sheria vimewatokea puani kwa kutozwa faini ya jumla ya milioni tano na karipio kali.
SOURCE : ITV taarifa ya habari.
Salsa milioni tano ni nini kwa clouds?
Salsa milioni tano ni nini kwa clouds?
Mimi nilidhani ni mimi tu inanikera kumbe tuko wenginina hakika ruge/kusaga alilipa immediately na libeneke litaendelea,hiyo pesa mbuzi sana kwao ulinganisha na zike wanazo kusanya kwenye onyesho moja la fiesta .ila si nina sikia arobaini yao 2015 atakapo ingia EL?.yule mzee hataki masihara,kujipendekeza wala mbwembwe za kuimbiwa happy birthday redioni kama wanavyo muimbia baba mwanaasha.
What's 5m to Clouds? Ukweli ni kuwa Clouds is the farthest reaching media outlet in the country with the largest and most expansive listenership. Hakuna outlet nyingine inayoweza kuwafikia Clouds kwa ingenuity or creativity. Let's give credit where credit is due.Clouds oyee!
Mimi nyumbani kwangu clouds itasikilizwa nisipokuwepo.
Mkuu, redio nzuri kusikiliza mtu makini ni RFA, Radio one, EAR( ondoa kipindi cha zembwela), Magic fm na TBC radioMimi nilidhani ni mimi tu inanikera kumbe tuko wengi
kwann wasizifungie kabisa