Clouds Media watozwa faini

Clouds Media watozwa faini

Hivi hizo pesa za Fine zinakwenda wapi ?, inabidi kama issue ni kuwazalilisha mabibi hizo pesa wawape wazee au kuwasaidia wazee wenye shida na sio kuziweka midomoni mwao... TCRA

Binafsi sikuona hicho kipindi hence siwezi kusema chochote ila si mabibi na wajukuu huwa tuna utani isije ikawa hawa jamaa wanataka kuwa too political correct; ukizingatia labda wasikilizaji wa hii redio hayo ndio mambo yao..

Nijuavo mm hizo hela zinaenda kwenye mfuko wa serikali.Ila kisheria kama hawa mabibi waliodhalilishwa wanazitaka hizo hela wanawafungulia clouds kesi ya madai.then ikionekana cloud wana hatia wanawalipa
 
Hivi hizo pesa za Fine zinakwenda wapi ?, inabidi kama issue ni kuwazalilisha mabibi hizo pesa wawape wazee au kuwasaidia wazee wenye shida na sio kuziweka midomoni mwao... TCRA

Binafsi sikuona hicho kipindi hence siwezi kusema chochote ila si mabibi na wajukuu huwa tuna utani isije ikawa hawa jamaa wanataka kuwa too political correct; ukizingatia labda wasikilizaji wa hii redio hayo ndio mambo yao..

kaaa kimya mpaka UJIO WA MWANA WA ADAM
 
MKUU hata ingekuwa faini ya laki 2, kwa taasisi sio nzuri. Kwani tayari imewashushia hadhi.
Mkuu hii imewafedhehesha sana kwani ilitangazwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari , itawaathiri pia kimapato kwani watu wataogopa kuwapa matangazo kwa kuonekana ni Taasisi ya kihuni na isiyo na maadili.
 
Back
Top Bottom