Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Sasa ikihitajika ushahidi na wao ndio waliokuwepo siku ile wanapovamiwa ina maana hawatatoa ushirikiano?

Cowards
 
Hujui Sheria ya Jinai wewe
Mtu Binafsi hawezi kushtaki, ni Serikali ndio Inashtaki, Mtu Binafsi atakuja kama Shahidi Tu
Hao Clouds hawana Uwezo kisheria Kumshtaki Bashite, atashtakiwa na Serikali na wao watakuja Kama Mashahidi Tu.
Huyo Sam Kilaza Hana anachojua.
Kama alivyofanywa Jangili Sabaya.
Jua Serikali Ikimshtaki hachomoki
Na Clouds watakuja Kutoa ushahidi
Jamani,kayafa si aliwapatanisha yakaisha.
 
Utetezi wenu una maana ipi, kabla ya kwenda mbali, au mna maanisha kilichofanywa ni halali? Majibu tasafali, kabla mambo hayajawa mengi.
Wewe unasoma kurudi nyuma?.

Umeambiwa aliye fungua mashitaka ni mwanasheria wa kujitegemea ambapo ni nafsi yake iliyomtuma kufungua hilo shauri na clouds media hawapo pamoja naye.
 
Utetezi wenu una maana ipi, kabla ya kwenda mbali, au mna maanisha kilichofanywa ni halali? Majibu tasafali, kabla mambo hayajawa mengi.
We ni nani mpaka uwe na uchungu na Clouds!!? p.a.a.m.b.a.fff!
 
Yaani CMG imeshuka Kiwango hivi mpaka Mtu kama Mtangazaji wa hovyo hovyo Samuel Nathaniel Sasali ndiyo anakuwa Msemaji wao wa Mambo muhimu kama haya na ambayo yanahitaji Upeo mkubwa ambao bahati mbaya sana hana katika Kuyakabili?
Wewe hata si mtumishi wa CMG umeyajuaje ya CMG??
 
Yaani umeonekana Kabisa Una Hofu kubwa ya Maovu uliyotenda....Tulia kaa kwa kutulia ulipie uovu wako...Kwanza Mtangazaji ana maamuzi Gani yeye sio Mkurugenzi sasa kwa akili zako muajiriwq tu ana maamuzi gani kwenye kampuni..Wakati Mwingine watz huwa mnaonyesha udhaifu mkubwa hata wa Kuelewa mambo madogo tu...Huna hata akili kidogo za kuelewa Hii ni Kampuni na Makonda aliivamia wanaojua nn kifanyike sio Mwajiriwa kama huyo mtu mdogo.....

Badala mjirekebishe muache uovu mnajificha eti ugaidi...jinga
 
Back
Top Bottom