Clouds hawana vipindi vingine?

Clouds hawana vipindi vingine?

Rais wa inch kuwa kama hii Kuwa mdaku ni ajabu la Karne....Rais anafanya maamuzi kwa kukomoa hasa tulio mchaguwa nalo ni ajabu....Rais anafuatilia Shilawadu!!...Rais anajuwa watoto wote wa Diamond wamezaliwa lini na majina yao...kweli? huenda anajuwa kwa sasa Wema anadate na nan!! kwa inch masikini kama hii ni aibu....
Kwani unadhani Rais yeye hapendi kurefresh? Rais pia ni binadamu wa kawaida nacsi kiumbe tofauti na viumbe wengine,kwani wewe unaposikiliza shilawadu unakuwa unatauta nini zaidi ya kurefresh mind?
 
Sio wote walioona, halafu mbona vipindi vingi vinakua na marudio hulalamiki??? Pole kwa maumivu tulia dawa iingie.
Clouds chapa kazi.... Hapa kazi tu
 
Rais wa inch kuwa kama hii Kuwa mdaku ni ajabu la Karne....Rais anafanya maamuzi kwa kukomoa hasa tulio mchaguwa nalo ni ajabu....Rais anafuatilia Shilawadu!!...Rais anajuwa watoto wote wa Diamond wamezaliwa lini na majina yao...kweli? huenda anajuwa kwa sasa Wema anadate na nan!! kwa inch masikini kama hii ni aibu....
Kaaaz kwelikweli
 
Nawaza tu, ni kweli clouds media hawana vipindi vingine kwenye televisheni hadi kufanya marejeo ya kipindi cha mahojiano ya ruge? Zamani ililalamikiwa kuwa ITV wanampa sana airtime Reginald Mengi, je ndio haya yanajiri leo? Au je kurudia ni kuomba huruma umma kwamba wameonewa? Kiukweli ni dhahiri kilichotendeka sio cha kiungwana lakini kwa kinachoendelea sasa ni zaidi ya kufikisha ujumbe. Ujumbe umefika na wahusika wanaendelea na hatua(kamati imeundwa) zinaendelea. Why repeating this much? Ifike mahala clouds mkue na muwe na uvumilivu, ujumbe umefika...
UKISHAONEWA NDIO UTAJUA KUMBE HATA WENGINE WANAO ONEWA WANAUMIA SANA
 
Clouds TV wanajiamini. Walienda TCRA wenyewe kuchukua form za kuanzisha TV station. Msiwapangie. Tena mkijaribu kuwapangia ndo mnaharibu kabisaaa. Clouds TV, nyie chapeni kazi tu.
 
Haya mambo ya kupangiana .haya.. mwisho mtawapangia waishije na wake zao nyumbani..
 
Back
Top Bottom