Clouds hawana vipindi vingine?

Clouds hawana vipindi vingine?

  • nisawa kwahili kwan mm moja wa wale waliokua awaja kiona kipidi live
  • wacha na sisi tuoneeeee
  • 😛😛😛
 
We boya ulieanzisha uzi huu, clouds ya kwao hakuna mtu alowashauri waianzishe, chapeni kazi waungwana
 
Order ilishatoka tusipangiane cha kufanya hata mleta mada mwacheni msimshambulie ndio alivyoona yeye tuzingatie msingi aliotuwekea mkulu.
 
Ndo mkurugenzi wa vipindi huyo mkuu ko hata wakiamua wakiridie siku nzima wanawezaaa ko wewe kuwaaa mpolee wanajisafishaaaa badoooo
 
Rais wa inch kuwa kama hii Kuwa mdaku ni ajabu la Karne....Rais anafanya maamuzi kwa kukomoa hasa tulio mchaguwa nalo ni ajabu....Rais anafuatilia Shilawadu!!...Rais anajuwa watoto wote wa Diamond wamezaliwa lini na majina yao...kweli? huenda anajuwa kwa sasa Wema anadate na nan!! kwa inch masikini kama hii ni aibu....


Rais ni binadamu au sio binadamu?

Makonda oyeeee
 
Walivyosema watakua live tena kuzungumzia uvamizi mlijua anakuja kuomba poo? Kipindi kilirudiwa ili wale ambao hawakukitizama watizame na ambao hawakuelewa waelewe
 
Mkuu hao ITV walikuwa wanampaje airtel Reginald Mengi..!?

Au na wewe muda wote unawaza mikopo ya TIMIZA ya airtel hadi unakuja humu kuchanganya.!?
Umesoma vizuri nilichoandika mkuu? Airtel imetoka wapi? Au labda hujaelewa maana ya airtime?
 
Nawaza tu, ni kweli clouds media hawana vipindi vingine kwenye televisheni hadi kufanya marejeo ya kipindi cha mahojiano ya ruge? Zamani ililalamikiwa kuwa ITV wanampa sana airtime Reginald Mengi, je ndio haya yanajiri leo? Au je kurudia ni kuomba huruma umma kwamba wameonewa? Kiukweli ni dhahiri kilichotendeka sio cha kiungwana lakini kwa kinachoendelea sasa ni zaidi ya kufikisha ujumbe. Ujumbe umefika na wahusika wanaendelea na hatua(kamati imeundwa) zinaendelea. Why repeating this much? Ifike mahala clouds mkue na muwe na uvumilivu, ujumbe umefika...
Unafiki umeua wengi japo hawajijui kuwa wamekufa kwa kuwa tu miili yao bado inapumua. Swali hili mbona hamkuliuliza wakati Clouds wanarusha live mikutano ile iliyofanya yule mama wa ardhi akaitwa kichaa?
 
Back
Top Bottom