Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,892
- 22,309
huwa nakosa amani inapofika hatua ya kumuhusisha Mungu na hizi siasa zetu, sina uhakika na juu ya ulinganisho wake.Mungu hawezi kuwa pamoja na siasa za Tanzania hata siku moja! Siasa gani? Hizi zinazoendeshwa na Manyang'au wa Kisiasa?! Watu kama sisi tunaweza kuwa manipulated na wanasiasa lakini sio mungu!!
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
muulize rwakatale.Hivi! kijana 'Masudi' kada wa CDM aliuwawa nani?kule Igunga.
nimefungulia radio na kumsikia kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la mwananchi juu ya polisi kumkamata lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi clouds fm kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
umesahau kwamba hao ni watoto wa TBC...OR SORRRY WA CCMWale njaa ndo inawasumbua tu!!!!
Join date 6th march 2013...walewale wa lumumbaCLOUDS BIG UP! Kama imewekwa JF kwanini iwe haramu kusikilizwa clouds. Wananchi tuna haki ya kupata habari. Chadema mnaweweseka!
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
Katika kujipendekeza kwake, Kibone anashindwa hata kuona hawa wahanga ni ndugu zake... Mara nyingine mtu unatakiwa uwe na uchungu katika mambo ya msingi
Great Thinkers wanashangilia hii video kuwekwa hapa JF lakini wanataka Clouds FM wasiitangaze?
That's a double standard. Kama haifai kutangazwa na Clouds ina maana haifai kuwekwa JF pia.
nisaidie mkuu hivi ile issue ya kusulubiwa kwa Ulimboka na jamaa kwa jina la Rama na ile ya Wauaji wa Mwangosi - zimefikia wapi, jamaa wameshatiwa mbarani?Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda