Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
yaan hata hujui...ni jf au goutube?..km hujui video ukisha upload huwezi kuizuia mana kila mtu anakuwa na acces nayo..ungemlaumu aliyeupload...ni makosa kwa clouds kucheza video kwa kisingizio eti iko youtube..nia ni kuchafua si kutoa habari na kujenga chuki dhidi ya anayetuhumiwa...
Mkuu Nyani Ngabu
Chadema ni wanafiki wakubwa hawana sera na mashinikizo mengi waliyoyafanya kutafuta kuungwa mkono hayakufanikiwa; haya wanayoyafanya yanajulikana kweli itadhihiri siku si nyingi
Chama
Gongo la mboto DSM
Watch this "Inauguration 2013: A Bad Lip Reading:
Polisi wawe makini na hizi video za YouTube , siwezi sema wasichukue hatua lakini wafanya forensic check kabla ya kuvaa mtu, walitakiwa kutoa taarifa kwanza kuhusu hiyo video kwamba ni ya kweli na wameshaithibitisha hivyo wamemkamata mtuhumiwa,
Polisi wa natakiwa kithibitisha beyond doubt njia wazotumia kuisoma hiyo video na kulizika nayo kwamba ni kweli , hivi zile picha za the utamu kiongozi wa kitaifa akifanywa mambo mabaya zilikuwa kweli?
Let get serious with our country, tukio la kwanza ilipashwa iwe taarifa kuhusu hiyo video yaani polisi wameithibitisha!? Kisha iwe kukamata mtuhumiwa
Kwa YouTube na JF, pamoja na taratibu hizo, mwanachama anaweza kutoa taarifa kwa waendeshaji pale anaposoma ama kuona habari isiyo stahili katika jamii; au matumizi ya lugha isiyopendeza mbele ya jamii. Yaani, anaweza kureport pale panapokuwa na abusive contents.
Kwa Clouds sifahamu utaratibu wao!
Navyojua kwa media Kama clouds, tbc , itv and the like wakitoa tukio ina maana wamethibitisha ni la kweli, Kama hawana hakika na source kitararibu wanabanwa kuikana video/Audio kwa kusema kwamba hiyo source aijathibitishwa,
Kwenye kuthibitisha kuna mambo wanaweza fanya wao na kuna mambo yako chini ya polisi yaani Kama uchunguzi ni nje ya utaalamu wao, njia nyingine ni Kama cloud wange comment kwamba kuna mtaalamu wao au out sourced ameithibitisha hiyo video sio graphic , nje ya hapo ni kukosa umakini.
BBC na CCN wanatumia sana video za YouTube lakini Kama source sio ya kuaminika mara zote watasema kwamba hawana hakika au wanasubiria confirmation.
Argument kwamba cloud na JF ni Sawa kwamba Kama ipo hapa JF then Sawa kwa cloud ni ya kimakosa, JF aibanwi na TCRA kwa level Sawa na cloud
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
Hiyo radio ni yakwao na sii kama nyingine ipo kimalsai zaidi pili huyo jamaa anautafuta ukuu wa mkoa kwa nguvu zote .Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda
Nape pia alishawahi kuwa CCJ, Shonza na Mwapamba walishawahi kuwa CDM.
nyie mwogopeni Mungu..sijui mtaweka wapi sura zenu huo ukweli ukidhiihirika..afu ni aibu kwa mtu mzima kama wewe kushabikia mambo usiyo na hakika nayo labda tu uwe miongoni mwa mliopanga hiyo mipango miovu..na kama ndivyo kumbuka Mungu hajalala na si dhalimu km mlivyo nyinyi..tumieni nguvu zenu zote lkn hamuwezi kupangua mipango ya Mungu kwa wa Tz..tena kwa hatua mliyofikia sijui hata km 2015 mtafika..mene mene tekeli na pelesi CCM
Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda
nyie mwogopeni Mungu..sijui mtaweka wapi sura zenu huo ukweli ukidhiihirika..afu ni aibu kwa mtu mzima kama wewe kushabikia mambo usiyo na hakika nayo labda tu uwe miongoni mwa mliopanga hiyo mipango miovu..na kama ndivyo kumbuka Mungu hajalala na si dhalimu km mlivyo nyinyi..tumieni nguvu zenu zote lkn hamuwezi kupangua mipango ya Mungu kwa wa Tz..tena kwa hatua mliyofikia sijui hata km 2015 mtafika..mene mene tekeli na pelesi CCM
Hapa hatuongelei ushabiki; ndani ya Chadema wapo wauji wengi na wanajulikana
Chama
Gongo la mboto DSM