Je, JF nayo itajuta kuzaliwa?
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
Hivi ni sahihi JF kuiweka clip ya lwakatare kwenye internet?
Hivi ni sahihi kwa JF kuendelea kuiachia hiyo video kwenye huu uzi?
Nasema JF infungiwe mara moja kwa kukiuka maadili ya Mtanzania.
Thanks best!! Tupo pamoja.Unanidai Heineken!