Clouds FM warusha kisa cha kushtua!!

Inasikitisha kwa kweli. Vile vile wazazi inabidi wajifunze kuwachunguza watoto wao. kaa na mtoto na umfanye kuwa rafiki, ataweza kukwambia vitu vingi. Hadi mtoto anaoza sehemu yannyuma mzazi hata hajui. Hii kwa kweli inasikitisha sana. Inabidi sheria ifuate mkondo wake , huyu kijana inabidi awekwe ndani kwa kosa la kubaka na kunajisi hao watoto. INabidi akae ndani si chini ya miaka 30.
 
Jamani hii ni balaa kweli, hawa mawaziri wa Mambo ya Ndani, Sheria na Katiba wako wapi????????/ Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr jamani hiki ni kinyaa uchi uchi kabisa. Hasira za wabunge ziko wapi??????????
Huyu Mohamed lazima atafutwe kwa jinsi yoyote. Ni aibu haya mambo yanatokea halafu wengine wanajaribu kuficha ukweli. Let us be real, kama ni watoto wako wanafanyiwa hivyo utafanya nini. I'M VERY ANGRY, MAD...
 
hawa wazazi walokole kweli! na wanathibitisha watanzania tulivyozoea kuonewa na kuvumilia!
 
hii inatisha sana.
kuna upungufu wa malezi miongoni mwa wazazi

tangu mwezi wa nne na mwingine mwezi wa kwanza, wazazi hawajagundua!!!!!
sasa hii inatisha sana
 
we nuru jamii, kuna link hapo weka cursor ya pc yako hapo then there you go!!
 
nimewasikiliza wazazi wanaongea kihuni sana, kuna upungufu flan na wa maadili miongoni mwao.
 
Sijui version yetu ya FCC iko wapi, na nini kinaweza kutangazwa hewani na nini hakiwezi.Hapo katika ku expose hii issue kuna mabaradhuli wengine wanapata ideas, kuna wengine wataiona kama Clouds FM walikuwa wanaifanya hii situation kuwa worse, kama kuna watu sadist waliokuwa wanapata satisfaction out of this, at least there can be argued to appear the possibility of this, which cannot be allowed, not even the appearance kwamba sadists watafurahia kufanya hii interview.

My point is, there has got to be a way to expose these ills with dignity and privacy.Sikuona hii Clouds FM. Hao watangazaji wenyewe wana come across kama hawa appreciate the depth and gravity of this situation. Hivi Tanzania hakuna mtoto siku hizi?

Sijui kama ndiyo mambo ya kibongo bongo yanavyokwenda lakini firstly it is very disheartening and secondarily it is rather dehumanizing, instead of helping the victim, the whole circus ends up raping the victim once again.There has got to be a better way.

bLURAY, appreciate!!! lakini lazima tutambue kwamba mbinu zote za kuwasilisha cases au tuthuma fairly kwa hii case zimefeli na kwa kusema ukweli [hasa kwenye vipato vya chini].... Nadhani kikichofanywa na Gea na Dina is the only way out to adress the matter

Nafanisha na yale ya meremeta, dowans, richmond, kashafa za wanajeshi wa marekani afghanistan na irak n.k.... in a jungle, its a jungle law inayofanya kazi

NADHANI PIA ULE UJUMBE UMEFIKA KWA LUGHA INAYOENDANA NA MAZINGIRA YA USWAHILINI KWETU, HIKI KIPINDI KIMEKUWA MAARUFU KULIKO VYOTE KUTOKA NA THEIR "RAW IS WAR" APPROACH

PROBABLY WE ONLY NEED TO ADVICE THAT THEY HIDE THE REAL NAMES
 
Mi wala sijaelewa naona mnaongea kichina china, wamebakwa na nani wazazi wanajua?, polisi walimuachaje mbakaji, kulikuwa na maelewano yoyote baina ya wazazi na mbakaji na polisi?

Hiyo link haifanyi kazi leo. au hii PC imeathiriwa na mitikisiko ya mabomu ya Mbagala maana nipo karibu na hapo.
 
Jamani mi nashindwa kufungua hiyo link, pengine haifanyi kazi leo. please can someone help out and give a summary. Please and please.
 
Mi wala sijaelewa naona mnaongea kichina china, wamebakwa na nani wazazi wanajua?, polisi walimuachaje mbakaji, kulikuwa na maelewano yoyote baina ya wazazi na mbakaji na polisi?

Hiyo link haifanyi kazi leo. au hii PC imeathiriwa na mitikisiko ya mabomu ya Mbagala maana nipo karibu na hapo.



yawezekana ila huenda kuna tatizo la net yako iko down .link inafanya kazi, tena vizuri sana
 
Jamani mi nashindwa kufungua hiyo link, pengine haifanyi kazi leo. please can someone help out and give a summary. Please and please.


mkuu link iko safi huenda mashine yako tu na net iko down sana.
 
hii inatisha sana.
kuna upungufu wa malezi miongoni mwa wazazi

tangu mwezi wa nne na mwingine mwezi wa kwanza, wazazi hawajagundua!!!!!
sasa hii inatisha sana
Edison,
Siyo tatizo la wazazi tu, ni tatizo la jamii nzima ya Tanzania. Kwanza Elimu yetu na maadili yetu. Those family values we have. Umewasikia hata wazazi wanapoongea? Haiwasikitishi kuwa sana ile discrimination waliyoipata watoto, bali wao wamesema kabisa "watoto wetu wameharibiwa tutapataje pesa"; infact kitendo alichofanya yule jamaa ni "barbaric and sadistic in nature". Waziri siyo inabidi amtume polisi kumshika yule kijana, inabidi yeye na IGP waende kumshika yule kijana.

Umasikini vile vile unachangia. Zile nyumba wanazoishi watu wa Darisalamu si za kuishi watu. Nenda ile mitaa ya Iddrissa, Pangani, Mkadini, zile nyumba zenu za vyumba sita; hivi hiyo familia inayotoka hicho chumba itakuwaje? Maana mie huwa naona hicho chumba kimoja anatoka mama, baba, binti, kaka; sasa what do you expect. Darisalamu ni slum city ambayo inafuga watu wa ajabu ajabu!

Mungu atuhurumie!
 
Nasikia watoto waliofanyiwa unyama walitajwa najina, madarasa wanayosoma na majina ya wazazi wao sasa wamekuwa kituko na wanazomewa madarasani na shule wameacha kwenda. sheria ya vyombo vy ahabari inarushusu hilo?
 
yaani nasikiliza hapa walai napata uchungu natamani ku*** huyo jamaa aliyekuwa anafanya unyama huu
 
Nasikia watoto waliofanyiwa unyama walitajwa najina, madarasa wanayosoma na majina ya wazazi wao sasa wamekuwa kituko na wanazomewa madarasani na shule wameacha kwenda. sheria ya vyombo vy ahabari inarushusu hilo?
Infact hata kuwafanya watoto waongee yote yale Cloud FM ilibidi wasi rushe yote. Hata majina na wazazi wao ilibidi wasitaje. Yale maneno yalikuwa yawe ya mahakamani. Watoto wale watukua na kuwa traumatized maisha yao yote.
Lakini vile vile kama Cloud FM hawange-Air yote wale watoto wangepata sympathy kweli kutoka kwetu?
 
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke Dr. Aisha Mahita amethibitisha kutokea kwa tukio la Vijana Wawili wa Kike (Lililoripotiwa katika kipindi cha Hekaheka-Clouds FM) kutoka Keko Mwanga kuingiliwa kimwili...Daktari huyo ameikumbuka kesi hiyo na kudai kuwa Jarada lake # RB 3619 lipo kituo cha Polisi Kilwa Road...Alikataa kutoa maelezo kwa madai kwamba Ripoti ya Hospitali ni haki ya Mgonjwa na vyombo vya sheria...Wao kama Madaktari wamemaliza kazi yao na kuikabidhi polisi.

Polisi kilwa Road hawakutoa maelezo kwa madai kwamba Msemaji wao yupo Polisi Temeke na hakupatikana kwa simu yake ya mkononi.

Maelezo ya Mganga Mkuu wa Wilaya yanaonyesha kuwa kumekuwa na Cases nyingi za kuwafanyia uchunguzi wa Afya watoto walionajisiwa na amedai wao hutoa/peleka Ripoti zao Polisi na kwa wahusika,alikataa kutaja idadi ya Cases hizo.

*****Imefika wakati sasa TAMWA iingilie kati na kuhakikisha Cases hizi zinasikilizwa na kuona wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua kali.
 
Link hii haifanyi kazi kwa ufupi nimeelewa kidigo sana....kwa kuwa hata sijapata audio hiyo..uki click hata link zingine unapata pop up window ikikwambia uwapigie simu jamaaa....Je hiyo lini ni baada ya ku click tu unapata matangazo au mpaka uende kwingine..?Hapa nina Internet speed ya 100Mbps Sijui kama hiyo link inaweza goma hapa...kwa kweli...
 
Back
Top Bottom