Clouds FM warusha kisa cha kushtua!!

Typical bongo!

Wengi humu wanasikitika, wanatoa kauli za "kulaani", wanalaumu wazazi...wanashusha tuhuma nzito dhidi ya watendaji wa serikali and on and on....But no body comes up with a concrete solutions...(perhaps Mwawado tuu aliyeomba kufuatilia..)....Ilmradi kila mtu anajua ni jukumu la mwingine kutatua hili tatizo.Rightly so..lakini hawawajibiki..sasa tufanyeje? Onyesha njia..ndo uwajibikaji wenyewe huo..Clouds wamefanya jukumu lao..pick it from there--if you are interested anyway..

Sasa jamani kwa mtindo huu tutafika?..wewe kama wewe sema utafanya nini...maana makosa yameshatendeka..its not enough "kusikia hasira na uchungu kwa vitendo vya kinyama"..so what???

It is high time we start giving REAL solutions to REAL problems. rhetoricals na viingereza vingi humu bila matendo ni bure!

Masanja,
 
Sasa typical non Tanzanian baada ya kulaani typical Tanzanian nilitegemea ungekuja na solutions kuliko na wewe kurudia hayohayo unayo ya laani.
 
Link hii haifanyi kazi kwa ufupi nimeelewa kidigo sana....kwa kuwa hata sijapata audio hiyo..uki click hata link zingine unapata pop up window ikikwambia uwapigie simu jamaaa....Je hiyo lini ni baada ya ku click tu unapata matangazo au mpaka uende kwingine..?Hapa nina Internet speed ya 100Mbps Sijui kama hiyo link inaweza goma hapa...kwa kweli...

mkuu inategemeana spid ya internet bandwidth ni tofauti na signal.link iko ok sana, we click hapo then chagua hiyo ya tarehe 22, utasikia, otherwise mashine yako ina matatizo, enable add ons.
 
Sasa typical non Tanzanian baada ya kulaani typical Tanzanian nilitegemea ungekuja na solutions kuliko na wewe kurudia hayohayo unayo ya laani.

Umeona wapi natoa condemnation yoyote?

Kama ningekuwa na uwezo wa kufanya nililonalo kichwani..I would have gladly done that even without asking/telling anybody. But Iam not in a position..ndo maana naona kutoa condemnation bila solution..its a waste of time....

Waswahili si ndo wanasema..maneno matupu hayavunji mfupa...?
 
Yaani nilidhani ni mimi tu ndo imeniuma hasa kile kitoto cha darasa la tano kilipokuwa kinasimulia ........ jamani machozi yalinitoka. Hivi tutaendelea kuvumilia vitendo vya kinyama kama hivi mpaka lini? Ni kwa nini polisi wetu wanatufanyia hivi jamani? Mimi nafikiri itafika muda wananchi watabadili utaratibu wao sasa yaani badala ya zile sheria za mikononi kuishia kwa watuhumiwa wataziextend mpaka kwa polisi sasa. Polisi asiyewajibika/ anayezembea na anayenyanyasa ni kipigo tu kama cha mbwa mwizi tumechoka sasa janani.

Hatujui ni watoto wangapi wameharibiwa na wanyama wa aina hii ambao tunawafuga!!

Hivi wanasheria naulliza hakuna kifungu cha sheria kinachohusiana na provocation? i.e nafanya kosa kwa hasira (nimekuwa provoked) yaani mfano kama mimi ni mzazi wa mmoja wa watoto hawa halafu nikakutana na mhalifu huyu mtaani- nikimpiga kisu kwa hasira nitachukuliwa hatua? Jamani uchungu wa mwana nyie acheni tu!
 
mkuu inategemeana spid ya internet bandwidth ni tofauti na signal.link iko ok sana, we click hapo then chagua hiyo ya tarehe 22, utasikia, otherwise mashine yako ina matatizo, enable add ons.

Mzee sijui kwa hapa nibonyeze link ipi wakati sipati hata option ya kubonyeza See attachment.
 
Attachments

  • Dull@net.jpg
    Dull@net.jpg
    59.7 KB · Views: 40
mkuu inategemeana spid ya internet bandwidth ni tofauti na signal.link iko ok sana, we click hapo then chagua hiyo ya tarehe 22, utasikia, otherwise mashine yako ina matatizo, enable add ons.

Sorry mkuu how do you "enable add ons"?
 
nimesikia hii kitu kwa makini nimerudia kusikiliza 4 times..kwa kweli words fails me!!
 
Mzee sijui kwa hapa nibonyeze link ipi wakati sipati hata option ya kubonyeza See attachment.

kwa hii ya clouds fm baada ya kubonyeza link aliyotoa yoyo inakuja direct,. itafungua windows nyingine amabapo utaselect cloud fm ipo kati si katika hii list hii then then italeta maneno ''sikiliza leo tena kuanazia jumatatu hadi ijumaa; chini yake kuna hii unayotakiwa kusikiliza ya tar 22,click hii.

naona ni matatizo ya connection hapo ulipo signal ziko chini maana kama unapata hii attchment naona spid ya net iko chini .
 
Mzee sijui kwa hapa nibonyeze link ipi wakati sipati hata option ya kubonyeza See attachment.

windows xp yako ina matatizo, install windows xp service pack 2 or 3, na iwe windows xp professional na si home edition. kwa hali ya pc yako ilivyo huwezi kusikiliza mazungumzo haya. maana inaonekana system file flni zinamis hapo.
 
Nafikiri mtu ukiwa na Adobe Flash Player utaweza kusikiliza.
 
Jamani hii ni nini tena kweli nimetoa machozi niliposikia maelezo ya huyu msichana

inasikitisha sana
 
Waungwana naomba msaada wenu wa namba za simu zifuatazo;

1. Kituo cha Redio cha Clouds.(Majina halisi ya Watangazaji wa kipindi kilichorusha
matangazo ya uzalilishwaji wa Watoto wa kike)

2. Namba ya simu ya Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke.

3. Namba ya simu ya Kituo cha Polisi Mgulani/Kilwa Road.

4. Namba ya simu ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mgulani.

Mkuu Yo-Yo naomba utafute muda ili urushe tena majadiliano ya pili ya wadada hao ambayo yatafanyika kesho kwa mujibu wa Matangazo ya hao Clouds...

Mkuu Mwawado, tongeze pia namba ya TAMWA, TGNP, and all other Violence Activist, na Tume ya Haki za Binadamu. Nimeisikiliza nimesikia ganzi mwili mzima. Watoto, vijukuu, vitukuuu, vilembwe na vilembwekeze tutavifikisha wapi? Hawa bulls need to be castrated. Hii haina tofati na ile ya Babu Seya, mtuhimiwa anatakiwa akamatwe awe chini ya ulinzi hadi hukumuu kama ile ya Nguza Vikings and others na kufia gerezani ili pia nao wakalawitiwe kule. Kwanini usitafute mtu mzima mwenzio wakati hata tiGo ukitaka unapata ili mradi mapesa yako, mbona haina tabu kuwapata hawa kina tiGo na mashoga ambao wengine chupi ni mkononi au kwa lugha rahisi ni soya ya mbeya i.e maji maramoja???
 
Jamani kwanini serikali haitaki kusikia kilio cha Wanawake. Mtu kama huyu wanawke Wanasheria wajiwakilisha hoja kuomba WAHASIWE na kutangazwa redioni na magazetini. Maana adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela siyo dawa si umesikia mambo yanayoendelea! Ee Mungu tuteulie Rais Mwanamke kwa miaka 5 tu akomeshe jambo hili.
 
Huyu alie fanya tayari yupo lock up Keko toka jana.

Asante mkuu kwa taarifa. Nilikuwa nimeomba number za simu kwa post yangu iliyotangulia. Pamoja na kuwa keko haitoshi. Tunataka magazeti yaandike kwa wingi issue hii na kupata hawa activits ili waweze kufuatilia kwa makini hasa dhamana isitoke, awe jela maana ni hatari kwa jamii. Hii kwa sheria inawezekana kama ilivyokuwa kwa kina Nguza Vikings. Pia nitachukua trouble ya kuifahamu familia ya hawa watoto ili nipate kupata updates za karibu na kuwasaidia pale ninapoweza. Unajua kama kweli mtuhumiwa ni mtoto wa afande wasije waka dilute maelezo na ripoti ya daktari hivyo ni lazima kuwe na watu wa karibu wa kufuatilia. Sijui kama hao wazazi wana several photocopies za ripoti hizo Mungu wangu.
 
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke Dr. Aisha Mahita amethibitisha kutokea kwa tukio la Vijana Wawili wa Kike (Lililoripotiwa katika kipindi cha Hekaheka-Clouds FM) kutoka Keko Mwanga kuingiliwa kimwili...Daktari huyo ameikumbuka kesi hiyo na kudai kuwa Jarada lake # RB 3619 lipo kituo cha Polisi Kilwa Road...Alikataa kutoa maelezo kwa madai kwamba Ripoti ya Hospitali ni haki ya Mgonjwa na vyombo vya sheria...Wao kama Madaktari wamemaliza kazi yao na kuikabidhi polisi.

Polisi kilwa Road hawakutoa maelezo kwa madai kwamba Msemaji wao yupo Polisi Temeke na hakupatikana kwa simu yake ya mkononi.

Maelezo ya Mganga Mkuu wa Wilaya yanaonyesha kuwa kumekuwa na Cases nyingi za kuwafanyia uchunguzi wa Afya watoto walionajisiwa na amedai wao hutoa/peleka Ripoti zao Polisi na kwa wahusika,alikataa kutaja idadi ya Cases hizo.

*****Imefika wakati sasa TAMWA iingilie kati na kuhakikisha Cases hizi zinasikilizwa na kuona wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua kali.

Asante kwa taarifa. Ukweli hili jambo limenisikitisha kupita kiasi. Napenda kuwa mkweli ndugu zangu wana JF huyu kijana kama nikitokea kumwona tu basi lazima nitampa kipigo.
Tunaomba jina kamili la huyu kijana na baba yake ni polisi kituo gani, ana cheo gani, huyu kijana alitoka rumande kwa mantiki gani na nani alimwekea dhamana?. Pia tafadhali naomba namba ya simu ya Polisi kilwa Road na namba ya mwalimu mkuu wa shule husika.

Hongera sana Cloud kwa hii kazi.
 
i am speachles, hivi mwanao kafanyiwa kitendo kama hiki ,halafu mzazi unaongea sijui kama nini,hivi inakuwaje jamani, mimi mwili unanisisimka kila sehemu, lakini unasikia mzazi anasema mambo ya kipumbavu, wangekamata huyo aliyefanya hicho kitendo,polisi na wangeangalia kama hao wazazi wako sawa kupewa hao watoto wawalee. man inasikitisha jamani
 
Back
Top Bottom