Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

Status
Not open for further replies.
au ili uwe mtangazaji unatakiwa kuwa na vigezo vp?
nifahamisheni tafadhali.
 
mimi naona ni sahihi ili wabunge kama akina ....... waache sifa za kijinga.Lakini pia bunge linaweza kuendelea kuoneshwa live lakini pawe na kanuni kwamba mtu akileta ujinga anakatwa.

hapana mkuu,
kama wabunge wetu wajinga wajinga kama wanaongea pumba ni pumba wawe wanaonekana au hawaonekani. huu ndio ukweli wenyewe.
kutoonesha bunge sio kutawafanya wasiwe wajinga au kutoa hoja zisizo za msingi au kukiuka kanuni za bunge
 
Clouds ni cancer kwa maendeleo ya Taifa. Nashauri tusifungue station yao kama wengi walivyo isusa tbccm
 
Uwezo wa kufikiri unatofautiana kati ya mtu na mtu na hapo ndo uwezo wake ulipoishia.
 
Hiyo haikubaliki hata kidogo,
Wanatunyima Haki na Uhuru wetu Wananchi aka Watanzania wa kufuatilia Live yanayojiri Bungeni.
Inaonyesha kuna kitu nyuma ya pazia ambacho hawataki Watanzania wengine wakione, au kusikia
Kama suala la Utovu wa Nidhamu kuna Kanuni na Sheria, kwa nini Sheria zisichukue Mkondo aka Nafasi yake kwa wote watakao vunja Kanuni na Sheria? !!!

Mtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge kuvunja kanuni za bunge kwa kupoteza muda kujadili mambo yasiyo ya msingi na kuacha yale ya msingi.

Anasema kwa sababu wanajua wanaonekana basi mbwembwe, madoido, mihemko, mshawasha na mengine mengi yamekuwa yakifanywa na wabunge isivyo kawaida.

Anadai anashukuru kwa katibu wa bunge kuliona hilo.

Wazo langu:
Je, mtangazaji huyu anajua maana ya demokrasia? Haki za binadamu? Katiba ya jamuhuri ya Tanzania 1977?
Na anachoshabikia ni kwa maslai ya taifa? Je, anachokubaliana nacho ndicho walicholenga walioleta swala la kutoonesha bunge live?
 
mimi naona ni sahihi ili wabunge kama akina ....... waache sifa za kijinga.Lakini pia bunge linaweza kuendelea kuoneshwa live lakini pawe na kanuni kwamba mtu akileta ujinga anakatwa.

i normally hate stupid ambiguous
statements like this!!!kwanini uwe wa uvuguvugu?mara unasapoti mara unapinga,maccm akili zao zimeshaharibika siku nyingi,toa utumbo wako hapa
 
Huyo mtangazji ni hamnazo, hii inaonyesha ni jinsi gani watangazaji wetu wanavyokimbilia fani ambazo hawaziwezi.ushauri wangu wa bure huyu jamaa ajaribu kufuatilia watangazaji wenzake hata wa vyombo vya nje ili aweze kujiendeleza katika fani yake.Inaonekana huyu jamaa alipata kazi wakati wa kusaka vipaji.
 
Clouds FM sio wasemaji wa Watanzania bali hayo ni maoni yao ambayo hayapaswi kupuuzwa. Bunge Kutoonyeshwa live haina maana kutoonyeshwa kabisa, bali kuonyeshwa baada ya editing. Sehem ambazo wabunge walionyesha lugha zisizofaa au vitendo vyovyote ambavyo vingeweza kujenga negative image yai bunge kwa jamii vinaondolewa. Wananchi wataweza kuona jinsi wabunge wao wanavyowawakilisha japo sio LIVE.
 
CCM inazidi kujichimbia kaburi tu. Acha wananchi tuone wawakilishi wetu wanavyofanya kazi kama ni wazembe ama majembe
 
Watangazaji wake wengi sijui wana nini maskini....! Kipombe! Nae jioni atakuja na yake...
 
hapana mkuu,
kama wabunge wetu wajinga wajinga kama wanaongea pumba ni pumba wawe wanaonekana au hawaonekani. huu ndio ukweli wenyewe.
kutoonesha bunge sio kutawafanya wasiwe wajinga au kutoa hoja zisizo za msingi au kukiuka kanuni za bunge
Najua wewe Iron Lady na wenzako; mnapenda kuiona hii kitu live (angalia hapo kwenye video).Any way, bunge litaoneshwa live and you will enyoy the movie!
 
Last edited by a moderator:
hao vijana wamezoe kuishi kwa show off sasa wanadhani hata wabunge wanahitaji kuonekana ndio wachangie, ni matusi sana kwa wabunge hayo maneno!

Mtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge kuvunja kanuni za bunge kwa kupoteza muda kujadili mambo yasiyo ya msingi na kuacha yale ya msingi.

Anasema kwa sababu wanajua wanaonekana basi mbwembwe, madoido, mihemko, mshawasha na mengine mengi yamekuwa yakifanywa na wabunge isivyo kawaida.

Anadai anashukuru kwa katibu wa bunge kuliona hilo.

Wazo langu:
Je, mtangazaji huyu anajua maana ya demokrasia? Haki za binadamu? Katiba ya jamuhuri ya Tanzania 1977?
Na anachoshabikia ni kwa maslai ya taifa? Je, anachokubaliana nacho ndicho walicholenga walioleta swala la kutoonesha bunge live?
 
[/COLOR]i normally hate stupid ambiguous[/SIZE] statements like this!!!kwanini uwe wa uvuguvugu?mara unasapoti mara unapinga,maccm akili zao zimeshaharibika siku nyingi,toa utumbo wako hapa
sawa. nimekuelewa.
 
Ajabu chombo cha habari hakijui nini maana ya uhuru wa habari.!

Hando sio mwanahabari ni mambo ya kubebana tu.Sikiliza magic fm na Radio one sasa hivi ndo utajua mawazo ya wa TZ,Lisu amewapa ukweli kwamba aliyetukanwa aonyeshe hizo sms waache maigizo
 
Na wao nadhani wanajionyesha kwa kiasi gani ni wajinga kama walipendekeza kutoonesha bunge, tanzania tumekuwa tukipata bunge tangu wakati wa RTD,sasa leo na maendeleo haya mntaka kutuletea bunge la kuchachuliwa (edited)tena?

Mtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge kuvunja kanuni za bunge kwa kupoteza muda kujadili mambo yasiyo ya msingi na kuacha yale ya msingi.

Anasema kwa sababu wanajua wanaonekana basi mbwembwe, madoido, mihemko, mshawasha na mengine mengi yamekuwa yakifanywa na wabunge isivyo kawaida.

Anadai anashukuru kwa katibu wa bunge kuliona hilo.

Wazo langu:
Je, mtangazaji huyu anajua maana ya demokrasia? Haki za binadamu? Katiba ya jamuhuri ya Tanzania 1977?
Na anachoshabikia ni kwa maslai ya taifa? Je, anachokubaliana nacho ndicho walicholenga walioleta swala la kutoonesha bunge live?
 
Duh jamaa mwenye shati jeupe ndio ndugai nini?

Back
Top Bottom