Clouds FM Michezo: Kiswahili- Kiingereza cha nini?

Clouds FM Michezo: Kiswahili- Kiingereza cha nini?

haya matatizo tunayo wengi ila hakuna Kama kitu kiliniuzi Kama mitangazaji wa clouds tv niliona youtube wa kike, alimpigia mtu simu na kumwambia kwanini movie yake kuna kipande kaweka nyimbo za Kihindi na anaimba Kihindi? Na sio kiswahili ?hapo hapo akasema yeye amekerwa na lie movie kwanini asiweke nyimbo za kiswahili na anakerwa watu wanatumia nyimbo za kiengereza wakati huo huo anamuhoji jamaa yeye anatumia kiswahili na kiengereza unapomkosoa mtu bora uwe na wewe umejipanga. Watangazaji wajifunze radio za Kenya Kama kiswahili ni kiswahili na Kama kiengereza ongea kiengereza na Kama kichaga ongea kichaga tu na mchaga wenzako.
 
mineno ya kimombo inatia ladha ukiwa unazungumzia mpira wa ulaya......acha kizungu kiitwe kizungu maana nikiwa naangalia kabumbu la uingereza halafu unakuta watu wametupia kamba!utafurahi kikristo kinavyotemwa kiufundi na mtangazaji!
 
Back
Top Bottom