Clouds FM acheni hizo bwana,kwanini mnazima umeme?

King Kong III;Form four umepata zero ya ngapi 34 au 35 mkuu? YAN MKUU FORM 4 NLIPATAGA 3.21 MIAKA HYO,CHUO NDO NLIPATAGA KAMA YA MKUU WA KAYA Dr yan gentleman. Vp nmeuliza umetumia nin kufikir kabla hujapost?

Yeah ndio maana! Maswali yako yamekaa kimabwepande flani hvi.
 
kweli watz hatuna shukrani Clouds tv wanaonyesha mpira live,clouds fm wanatangaza mpira live wakati television zote ikiwemo tbc1 wanaonyesha muziki,lakini bado unatupa lawama eti clouds wamekuwa Tanesco,hivi kwanini watanzania hatuaminiani kiasi hicho...Mods ondoa huu ******...

alafu nyie wanyonyaji siwapendi!!
 
mtoa mada ametoa mishipa kutetea ujinga wake khaaaa,.mambo mengne bwana utadhan halijaenda shule bwana..umeme na clouds fm wap na wapi?. Naona unawatakia watu ban tu hapa na mipost ya kijinga halafu bado unakomalia,.
 
mtoa mada ametoa mishipa kutetea ujinga wake khaaaa,.mambo mengne bwana utadhan halijaenda shule bwana..umeme na clouds fm wap na wapi?. Naona unawatakia watu ban tu hapa na mipost ya kijinga halafu bado unakomalia,.

Kweli wewe kakojoe,relax n take notes yl I take tote of marijuana smoke gun smoke gun smoke I just wanna papers,pitia vizuri content uone uhusiano nao,pole na matokeo ya form4 kwa kupata zero! Wewe ndio unaotafuta Ban kukurupuka bila kusoma mwenye sredi analalamika nini,fikiri nje ya box kijana,wewe ndio ujaenda shule,nimesoma shule special hadi chuo special ****(censored)!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom