Clouds "Amka na Pests Man" na mrejesho wake

Clouds "Amka na Pests Man" na mrejesho wake

Kuna watu tunawachukia watu halafu tukiulizwa sababu za chuki hatuna sababu za msingi.
 
Kuna watu tunawachukia watu halafu tukiulizwa sababu za chuki hatuna sababu za msingi.
Kama taifa lazima tujijengee tabia ya kuwajibika Kwa pesa za umma,pesa za umma si lazima zitoke hazina,hata hizi unazochangisha jerojero huwez jua raia wameguswa Kwa kiwango gani,ili tuaminike lazima tuwe na tabia ya kutoa mrejesho,Kwa hapa naona kabla hatujaanza kuchangishwa nyingine tupewe Kwanza mrejesho WA Ile michango iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom