Clouds aibu tupu Uingereza haina rais

Uiengereza hawana 'written constitution', it is a monarchy. Na ndio maana inaitwa 'United Kingdom. Vilaza wa Clouds!

na wala hajasema written constitution, kasema katiba. uingereza wanayo katiba ingawa haijaandikwa.
 
kuna aina ya wanafunzi ambao kama hajaelewa swali anasema swali limekosewa, nadhani humu wapo wengi sana....
 
mmh we itakua ulinyimwa kazi clouds. Usijal nafungua kituo changu cha redio muda c mrefu, ntakutafuta. Jst keep staying in jf.
 
Hapa kuna mawili inawezekana hajui au anajua kaamua kumchanganya mtoa jibu, mfano jogoo akitaga yai mlima kilimanjaro litaangukia wapi? Kenya au Tanzania.

Uwezekano mkubwa ni kwamba huyo mtangazaji hakuwa anafahamu kitu alichokizungumza,ingekuwa kumchangaji mtoa jibu mwishoni angetoa jibu sahihi na kukanusha kauli ya awali.
 

mmmnnhhh
 
Hapa tusizungushe wala nini hizi ajira ya kuhongana na kujuana haya ndiyo matokeo yake. Radio na Tv stations nyingi za Bongo zimejaa vyangu watupu wasio na hata welewa wa msingi. Huu ni ushahidi kuwa nchi yetu iko msambweni. Angalia watu wenye kila aina ya ushoga na ushankupe wanavyopamba radio na TV zetu wakiwalisha watu uchafu. Hawana maadili wala taamuli bali ulimbukeni na ushamba wa kawaida. Ni wadaku watupu. Je hapa wa kulaumu zaidi ya jamii nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…