Msaidieni,akipita hapa ajue kuwa amekosea,UINGEREZA HAINA RAIS INA WAZIRI MKUU.......naimani akipita hapa atasoma comment hii
Si failures tu lakini Form IV failures.Cloudz pale wengi ni failures, so unategemea nini
Kheee Stivu!!!Zing...nadhani wengi wetu hapo ndo huwa tunachanganya kwamba katiba ya UK haijaandikwa....baada ya kumsikia huyo kijana redioni na mm nikamuuliza mtu kuhusu hiyo katiba....hiyo link hapo ni msaada mkubwa!Btw: hivi Kusaga ajue pia na kiasi gani vijana wake wana uelewa wa General Knowledge? je kama kijana kwingine yuko fit tu na hili kakosea mnataka lawama ziwe kwa Kusaga? Binafsi namlaumu muhusika kwa kukurupuka na kupotosha watu (hasa vijana wa shule maana kipindi kinawavuta zaidi wao)What the fussy about?! Kwani hamjaulizana mkiwa shule za msingi maswali ya train za umeme na moshi wake kuelekea magharibi hali upepo ukivuma kuelekea mashariki?!
bht, yule dula kibajaji ni mzee wa jokes... sasa tukimchukulia sirias itakua balaaKheee Stivu!!!Zing...nadhani wengi wetu hapo ndo huwa tunachanganya kwamba katiba ya UK haijaandikwa....baada ya kumsikia huyo kijana redioni na mm nikamuuliza mtu kuhusu hiyo katiba....hiyo link hapo ni msaada mkubwa!Btw: hivi Kusaga ajue pia na kiasi gani vijana wake wana uelewa wa General Knowledge? je kama kijana kwingine yuko fit tu na hili kakosea mnataka lawama ziwe kwa Kusaga? Binafsi namlaumu muhusika kwa kukurupuka na kupotosha watu (hasa vijana wa shule maana kipindi kinawavuta zaidi wao)
MTM, dulla kibajaji namuelewa sana...Ila huyu wa leo (hata jina simjui) kipindi chake ni tofauti na segment ya Dulla!Ali mislead watu aisee....bht, yule dula kibajaji ni mzee wa jokes... sasa tukimchukulia sirias itakua balaandio maana they ended up laughing
Kweli puzzle ya kupotosha watu ni ujinga na mtunga puzzle ni mjinga.
Najua atasema hivyo, mtu mzima akibanwa atasema nilikuwa natania au
mwalimu akikosea na wanafunzi wakagundua atasema nilikuwa wanatest nione kama mmeelewa.
labda alikuwa ana maanisha rais wa shirikisho la ngumi la Uingereza, si ndio dogo kweka?
Sasa hapa tupo shule za msingi mambo ya kuulizana Kenyata wa Tanzania ni?..............acheni utoto simple.What the fussy about?! Kwani hamjaulizana mkiwa shule za msingi maswali ya train za umeme na moshi wake kuelekea magharibi hali upepo ukivuma kuelekea mashariki?!
Na wewe mleta hoja usikilize Clouds na mgeni wako wa maana utakuwa na akili timamu kweliMtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza
kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa,
hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?
Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.
elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
Sasa hapa tupo shule za msingi mambo ya kuulizana Kenyata wa Tanzania ni?..............acheni utoto simple.
Yah ni kwel ndo maana clouds hawapokei ushauri wetu sababu ya kulishwa sumu ya ubaguzi dhidi yao,tuwe waelimisha na tutawale jazba.Hapa kuna mawili inawezekana hajui au anajua kaamua kumchanganya mtoa jibu, mfano jogoo akitaga yai mlima kilimanjaro litaangukia wapi? Kenya au Tanzania.
Wala hakikua kipindi cha puzzle kile.Sishangai sana maana watangazaji wengi wa CLOUDS ni Kibonde's type.Watu wenye view kama Masoud KP walishahamaga hiyo Media baada ya kugundua kua ''Sio''Hivi sio kipindi cha komedi hicho!
Anawaokota vijiweni.Mtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa, hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
Msaidieni,akipita hapa ajue kuwa amekosea,UINGEREZA HAINA RASI INA WAZIRI MKUU.......naimani akipita hapa atasoma comment hii
so lucky we hide our identities. Nxt time THINK! before shaming yourself. Kweka seems to be ok upstairs. And those are weekly puzzles. The last wk he asked if 1 bald head is shaved for 5 minutes, how about 3 bald heads? And sadly ppl (students) like u fell in the trap by saying same 5 minutes and others saying 15. Nakushauri uwaombe mods waondoe hili bandiko maana litakuwa ref nzuri kwa wana jf pale utakapokula chaka tenaMtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa, hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
Hata mimi huwa napata shida sana na radio ya clouds ,kuna siku walimshambulia mkurugenzi wa Tanesco tena kwa jina kwa maneno ya kejeli kuhusiana na mgao wa umeme,kiasi kwamba hiyo redio ingeweza hata kushtakiwa.TATIZO JINGINE LA CLOUDS LUGHA WANAYOTANGAZIA SIO NZURI,NAOMBA WAJIREKEBISHEMtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza
kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa,
hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?
Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.
elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.