Mkuu its meant to be puzzle na wewe umeshajibu kwamba England hakuna raisi hilo ndio jibu
kama ndio hvyo,that was the questn!If that is the case, then it is a useless puzzle!
Najua atasema hivyo, mtu mzima akibanwa atasema nilikuwa natania auMkuu its meant to be puzzle na wewe umeshajibu kwamba England hakuna raisi hilo ndio jibu
Kweli puzzle ya kupotosha watu ni ujinga na mtunga puzzle ni mjinga.If that is the case, then it is a useless puzzle!
Hata mimi nimemsikia anajiita Kweka P. Kweka bado kipindi kinaendelea sijui wenzake hawamstui
anasema katiba ya uingereza inasema rais anywe chai saa 2 je ya tanzania inasemaje dah ndiyo bongo yetu.
Hata mimi nilihisi hivyo!Mkuu its meant to be puzzle na wewe umeshajibu kwamba England hakuna raisi hilo ndio jibu
Uiengereza hawana 'written constitution', it is a monarchy. Na ndio maana inaitwa 'United Kingdom. Vilaza wa Clouds!