Clouds 360: Taarifa za mitandaoni Yericko Nyerere na William Melecela

Clouds 360: Taarifa za mitandaoni Yericko Nyerere na William Melecela

wewe ndio bingwa wa kutukana wakristu hapa

embu tupishie mbali kuleeeeee na udini wako uliopitiliza kama lichama lako la kifisadi
Nikupishe wewe na nani? Wewe ndiyo unahangaika na mimi kuni qoute mimi wala sikufahamu.

Labda tufahamishe udini ni nini?

Maana unalia lia tu udini elezea udini ni nini.
 
peleka udini wako na chuki zako dhidi ya wakristu kuleeee kwenu

baba una chuki za kidini utadhani umetumwa

keruuuuuuuuu
Naona unalia lia tu chuki zipi kwa faida ya JF weka hizo chuki zangu dhidi ya Wakirsto ukiweka najitoa JF.

Usipoweka nakuweka kwenye list yangu ya wapuuzi wa JF na kuanzia leo takuwa na kupuuza na kukujibu takuwa nakujibu kipuuzi.
 
Huyu yeriko ovyo sana katika kiswahili,nataka niulize nini maana ya kuvuluga na ajiri?
 
Mwana intelligensia wa chadema huyu teh teh teh
 

Attachments

  • 1441946638676.jpg
    1441946638676.jpg
    47.9 KB · Views: 486
Ile topic yake ya udukuzi wa Ikulu iliniacha hoi..teh teh trh yericko banaa...

Anajifanya mjuaji sana jamaa walau angepata kujua walau kidogo sijui ingekuaje teh teh teh kumbe unaikumbuka ile ya ikulu nimechrka sana asee.
 
Lemutuz... Nina source nyingi za information, kabla ya yeriko... Habari za siasa sio za siri sana


Ziggy Marley, sorry Tomorrow People, hivi huyu mze Le mutuz anajitambua lakini? I have never seen a bogus man like him. He's just too chaotic na kama angekuwa demu basi angekuwa anasutwa kila kukicha.
 
Last edited by a moderator:
tv?ry


NIMEAMINI JANA KWENYE 360 ya clouds kwamba le mutuz ni akili kubwaz yaani yericko ni chenga kabisa anapanic hovyo hovyo ana hoja kama yupo kijiwe cha wavuta bangi haaaaaa LE MUTUZ MZEE WA FACT
 
Haina shida mkuu naona amekaa kijasusi kapiga suti na ear phones kaziweka kijasusi zaidi

Hiyo suti unaweza kukuta chini kavaa bukta ya yanga na kandambili teh teh teh
 
Nasikia huu mjada ulikua vita kati ya le mutuz vs yericko nyerere na nick wa pili
Mwenye link ya hii video naiomba
 
Riz na matusi yako eti mtu akimponda rizione unajifanya unatukana wazazi wake ili tukuone wewe ndio rizione, rizi one hana matusi kama ya kwako. Dogo yuko poa watu tunamjua toka udsm. Ila wewe dogo hapa unajishaua shaua ili watu wajue wewe ndio rizione.
Tatizo lako wewe muongo sana wewe ulianza kunishambulia hivi na kejeli zako kwangu.
Nasikia ulipokamatwa china jamaa alificha poda yako yote? Alijua hutarudi
Mimi nikakujibu hivi...
Umesikia kutoka kwa nani Mama yako mzazi? Nilimwambia juzi.

Teh teh teh
Halafu wewe unaanza kulalamika wakati wewe ulianza kunivunjia heshima.
 
Back
Top Bottom