Clouds 360: Taarifa za mitandaoni Yericko Nyerere na William Melecela

Clouds 360: Taarifa za mitandaoni Yericko Nyerere na William Melecela

Riz na matusi yako eti mtu akimponda rizione unajifanya unatukana wazazi wake ili tukuone wewe ndio rizione, rizi one hana matusi kama ya kwako. Dogo yuko poa watu tunamjua toka udsm. Ila wewe dogo hapa unajishaua shaua ili watu wajue wewe ndio rizione.
 
Yericko Kajawa Mihemko Yan Hajatulia Kichwan Hata Kimuonekano Utadhan Kakalia Jiko La Ges
 
Hivi kweli huyu Yericko ndo mmoja wa think tank wa chadema humu jf?? mamaaaaa eeeeeeeeeh!!!
SIAMINI. Au kuna Yericko mwingine??
Yani Mimi ameniudhunisha sana....sikutegemea kama ndo yeye anayeandika hapa jf Uzi mpka vichwa vinauma. Kumbe live ndo yule? Na pamoja nakusoma kwake siamini kama anaweza ongea sentensi 3 za English. Kiswahili tu shida. Inabidi ajisafishe....
 
Pole sana I can feel it, nimetoka kumsema hilo hilo sijui kwanini anapenda kutukania watu mama zao bila kujua kuwa wengine wamefiwa na kufanya hivyo anawaumiza
Hujui matusi ambayo uwa kaishanitukana huyo jamaa yako bora ungekaa kimya mbona wewe sijawahi kukushambulia?
 
Huyu jeriko Nyerere kumbe hakukopi na kupesti jina la Nyerere tu. kakopi na kupesti hata mustechi wa Kambarage, sijui ndio anaipa jamii ujumbe gani?
 
Riz na matusi yako eti mtu akimponda rizione unajifanya unatukana wazazi wake ili tukuone wewe ndio rizione, rizi one hana matusi kama ya kwako. Dogo yuko poa watu tunamjua toka udsm. Ila wewe dogo hapa unajishaua shaua ili watu wajue wewe ndio rizione.
Mimi na Ridhwani wapi na wapi mimi ni Ritz wa JF sina uhusiano wowote na Ridhwani, wewe ukinituka lazima nikujibu ndiyo utaratibu wangu.
 
Last edited by a moderator:
Angalia ulivyopunguani natumia simu tu hapa taweka ulichoandika mimi nilichofanya kukujibu tu wala sikumtukana mama yako nilijibu matusi yako kwangu vuta subira taweka post yako, halafu achilia mbali hiyo mara kibao tu unanishambulia napuuza wakati mwingine unanitukania mpaka dini yangu.
Sijawahi kutukana dini yako. Na nenda kwenye ile thread ya Lau alivyokamatwa na polisi ndio kuna yale matusi yako.
Ritz hata kwenye hii thread umetoka tu kumtukana mama wa mshkaji hapo juu. Maana yake ni kuwa wewe jamaa umezoea sana hii tabia japo sio nzuri. Na inawezekana hakuna mtu hapa JF ambaye ameshawahi kumtukana mzazi wako.
Tatizo wewe unajifanya sana mtoto wa JK.
 
Kijana wa Mbowe ndiyo wanamkubali pale Ufipa kwenye mitandao.

Baada ya hapo nimemsikia Lemutuz kwenye redio na diva anasema ametoka cloudstv kumuadhibu Yericko. Ila chadema wajipange eti yeriko ndio think tank.
 
Sijawahi kutukana dini yako. Na nenda kwenye ile thread ya Lau alivyokamatwa na polisi ndio kuna yale matusi yako.
Ritz hata kwenye hii thread umetoka tu kumtukana mama wa mshkaji hapo juu. Maana yake ni kuwa wewe jamaa umezoea sana hii tabia japo sio nzuri. Na inawezekana hakuna mtu hapa JF ambaye ameshawahi kumtukana mzazi wako.
Tatizo wewe unajifanya sana mtoto wa JK.
Wewe unajifanya mtoto wa nani Lowassa au Mbowe?

Bahati nzuri JF nipo muda kabla ya hii ID ya Ritz nakujua vizuri sana wewe adui mkubwa wa Waislam siku hizi naona upenguza chuki zako.

Ulikuwa na wenzako Maxshimba, Rev Masanilo kazi yenu ilikuwa kukashifu Uislam tu JF ulikuwa uwanja wenu wakutukana Waislam.

Takuwekea matusi yako humu watu wakusome.
 
Kwa muonekano na presentation ya yeriko nyerere imedhihiridha team UKAWA walivyo. kuitwa Loafers iliwastahili kabisa. Le Mutuz you deserve appreciations
 
  • Thanks
Reactions: snn
Back
Top Bottom