Clouds 360: Taarifa za mitandaoni Yericko Nyerere na William Melecela

Clouds 360: Taarifa za mitandaoni Yericko Nyerere na William Melecela

Yericko ana hoja ila hajui kuwasilisha hoja..,!
 
Yeriko : Amani ya nchi hii haitavunjwa na mitandao ya kijamii, watanzania waelewe mitandao imukuja kwa ajiri ipi.
 
Yericko ana hoja ila hajui kuwasilisha hoja..!
 
Amani na haki ni lazima vipatikane hata kwa ncha ya upanga!..Kama watawala wanataka amani basi wawe wepesi kutoa haki,haki haiombwi na kama itacheleweshwa itachukuliwa kwa nguvu!
 
Amani na haki ni lazima vipatikane hata kwa ncha ya upanga!..Kama watawala wanataka amani basi wawe wepesi kutoa haki,haki haiombwi na kama itacheleweshwa itachukuliwa kwa nguvu!

slaa amelisema sama sana hili hadi amekimbia nchi bado wewe
 
Lemutuz anaungana na lowassa kwa kusema swala wanaloitaji wananchi ni elimu.
 
Yericko acha pupa toa hoja zako taratibu...inaonekana una vitu vingi ila jinsi ya kuvitoa ndo tatizo. Inabdi ujifunze jinsi ya kujadili mbele za watu....

Mtu mwenyewe wewee
 
Jamaa anajifanya mjuaji,hataki kuwa challenged kwenye page yake instagram...

Mwana Ccm
 
Yericko Ilo jina LA nyerere hutoe...nilikua sijawahi kukuona ukiongea. Huwezi kusimamia kwa chochote, huna point wala hoja. Kwanza unaonekana Mtoto na bado hujakuwa. Na Yale unayoandika uwa unatumiwa tu
 
Teh teh teh!!!

Huyu dogo ni bingwa wa copy and paste tu kichwani hamna kitu, ndiyo tegemeo la Chadema mitandaoni.
 
Hivi kweli huyu Yericko ndo mmoja wa think tank wa chadema humu jf?? mamaaaaa eeeeeeeeeh!!!
SIAMINI. Au kuna Yericko mwingine??
 
Back
Top Bottom