Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Ritz mambo ya kwenye jukwaa la dini ndio uneyaqeka moyoni?Wewe unajifanya mtoto wa nani Lowassa au Mbowe?
Bahati nzuri JF nipo muda kabla ya hii ID ya Ritz nakujua vizuri sana wewe adui mkubwa wa Waislam siku hizi naona upenguza chuki zako.
Ulikuwa na wenzako Maxshimba, Rev Masanilo kazi yenu ilikuwa kukashifu Uislam tu JF ulikuwa uwanja wenu wakutukana Waislam.
Takuwekea matusi yako humu watu wakusome.
Kule watu wanabishana kuhusu na mimi sijawahi kuwa na msimamo mkali kama kina maxshimba.
Mmna watu tulikuwa tunabishana kwa hoja bila matusi na ilikuwa katika hali ya kueleweshana. Na mbona wale tuliokuwa tunabishana nao tulikuwa hatuwatukanii wazazi wao vile vile nao walikuwa hawatutukanii mama zetu?
Kama wewe ni mkongwe hivyi inabidi uache hii tabia ya kutukana mama za wenzako.
Sidhani kama utatukana tena .