Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Huyu mtoto wa malecela ni mzee lakini anajifanya kijana. Na huyu Yericko nae ajirekebishe, ana sifa za kitoto sana. Anajiita nabii wa mitandao. Pah!!
Jasusi wa chadema kutoka UrusiHaina shida mkuu naona amekaa kijasusi kapiga suti na ear phones kaziweka kijasusi zaidi
Jamaa mjanja mjanja fulani lakini kwenye hiyo picha nimecheka sana...huyu jamaa ni tapeli kabisa hata ukimuangalia...Mkuu yaani we acha tu hiyo picha ukilinganisha na topic zake za udukuzi jinsi alivyokaichambua ikulu na kuonekana ilipo sio salama na ukijumlisha mambo aliyotufanyia jana pale mawinguni yaani nabaki hoi kwa kicheko.
Jasusi wa chadema kutoka Urusi
Umemuona jasusi wenu kutoka urusiccm ni janga la kitaifa kama kipindupindu na dengue
Jamaa mjanja mjanja fulani lakini kwenye hiyo picha nimecheka sana...huyu jamaa ni tapeli kabisa hata ukimuangalia...
Wazee walio mzunguka hapo hawakujua kama wako na mwana usalama/jasusi wa chadema kutoka Urusi alipokuwa toka miaka ya70:::::::..View attachment 285734Nacheka sana unavyoliingizia hilo neno "kutoka urusi" yaani kuonyesha msisitizo "jasusi alietukuka" teh teh teh
Haina shida mkuu naona amekaa kijasusi kapiga suti na ear phones kaziweka kijasusi zaidi
Hizo ear phone anawasiliana na jasusi mwenzake ben saanane
ina maana na Ben Saanane alikaa urusi kama yerickoHizo ear phone anawasiliana na jasusi mwenzake ben saanane
Hizo ear phone anawasiliana na jasusi mwenzake ben saanane
Wazee walio mzunguka hapo hawakujua kama wako na mwana usalama/jasusi wa chadema kutoka Urusi alipokuwa toka miaka ya70:::::::..View attachment 285734
Kumbe jamaa ndio alianza kukuletea dharauTatizo lako wewe muongo sana wewe ulianza kunishambulia hivi na kejeli zako kwangu.
Mimi nikakujibu hivi...
Halafu wewe unaanza kulalamika wakati wewe ulianza kunivunjia heshima.
Huyu Yericko hahahaha.Wazee walio mzunguka hapo hawakujua kama wako na mwana usalama/jasusi wa chadema kutoka Urusi alipokuwa toka miaka ya70:::::::..View attachment 285734
Wazee walio mzunguka hapo hawakujua kama wako na mwana usalama/jasusi wa chadema kutoka Urusi alipokuwa toka miaka ya70:::::::..View attachment 285734