The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,858
Leo mada ni taarifa za mitandaoni
Malecela: Nina source nyingi za information, kabla ya yeriko... Habari za siasa sio za siri sana
Malecela: siamini kama mitandao itavuluga amani... Kwa sababu watu wengi hawaifuatilii hasa wa vijijini
Malecela: chadema wamekuwa ni watumiaji wa social media lakini haikuwahi kuwapa madaraka.
Malecela: kwenye siasa... Kuna fear tactics... Unaweka woga ili mtawala uogope which is not true...
Yeriko: mitandao ya kijamii inanguvu sana, hata chadema tumepata nguvu nyingi kupitia mitandao.
Yeriko: Amani haiwezi kupatikama kama hakuna haki.
Yeriko: Chadema haija chukua fisadi.... Imechukua wasafi, wachafu wamebaki huku huko
Yeriko: Amani ya nchi hii haitavunjwa na mitandao ya kijamii, watanzania waelewe mitandao imukuja kwa ajiri ipi.