Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Teh Teh mdukuzi kutoka urusi ni hatari...hehehehehe mkuu ataku hack , shauri yako
Teh Teh mdukuzi kutoka urusi ni hatari...hehehehehe mkuu ataku hack , shauri yako
Mkuu usicheke sana atadukua mawasiliano yako.....!Huyu Yericko hahahaha.
Hukujibu hivyo. Nenda ka quote vizuriTatizo lako wewe muongo sana wewe ulianza kunishambulia hivi na kejeli zako kwangu.
Mimi nikakujibu hivi...
Halafu wewe unaanza kulalamika wakati wewe ulianza kunivunjia heshima.
Kumbe jamaa ndio alianza kukuletea dharau
Wewe ndiyo weka majibu yangu niliyokutukana hapa si yapo kwenye posts zako.Hukujibu hivyo. Nenda ka quote vizuri
Wewe ndiyo weka majibu yangu niliyokutukana hapa si yapo kwenye posts zako.
Na wewe haya maneno ya poda nimekusingizia?
Wapi umetaja Ridhiwani?Sasa kwani wewe ndio Ridhiwani? Si ushasema jana kuwa wewe sio Ridhiwan? Na mimi kukuandikia vile nilijua kabisa kuwa wewe sio rz1.
Unadhani angekuwa riz mwenyewe ningemuandikia vile?
Hizo ear phone anawasiliana na jasusi mwenzake ben saanane
Mwana intelligensia wa chadema huyu teh teh teh
Yericko hata ukimuuliza sababu ya kushabikia chadema hajui atakuambia anafuata mkumbo tu.......
Yericko! Hivi mishipa yako ya aibu imeishakatika?Thank you Cloudstv kwa kipindi chenu 360, nimefurahi kujumuika nanyi, ombi langu ikiwapendeza nitafutieni mwingine mwenye akili toka ccm
ha ha haThank you Cloudstv kwa kipindi chenu 360, nimefurahi kujumuika nanyi, ombi langu ikiwapendeza nitafutieni mwingine mwenye akili toka ccm
Yericko! Hivi mishipa yako ya aibu imeishakatika?Thank you Cloudstv kwa kipindi chenu 360, nimefurahi kujumuika nanyi, ombi langu ikiwapendeza nitafutieni mwingine mwenye akili toka ccm
Jamani hivi hakuna mahali mtandaoni wameweka video ya huo mjadala
Natamani ningeusikiliza
Kama ipo link
Thank you Cloudstv kwa kipindi chenu 360, nimefurahi kujumuika nanyi, ombi langu ikiwapendeza nitafutieni mwingine mwenye akili toka ccm
Thank you Cloudstv kwa kipindi chenu 360, nimefurahi kujumuika nanyi, ombi langu ikiwapendeza nitafutieni mwingine mwenye akili toka ccm
We Le Mutuz Umemshindwa Unamtaka Mwngne Mwenye Akili Yupi?Lizaboni Au Jingalao Au Mr.Chin Maana Hao Ndo Atlst Au Tukuletee Juliana Shonza?